kila kilevi kina utaratibu wake wa maandalizi na matumizi, hata ulanzi ukiugema ndivyo sivyo sio ulanzi tena, na bangi ni hivyo hivyo, tena kwavile ni haramu jukumu lote la kuhakikisha kwamba imekomaa, imelimwa vizuri, imevunwa vizuri, aina yake, n.k. ni la mtumiaji kwahio inabidi ujielimishe kwa ufasaha, ukijielimisha hata mitandaoni kuna forums kabisa za bangi ni kilevi salama kabisa ila ukiingia kwa kuiga iga ama kimazoea lolote laweza tokea , ukiona huko Ulaya na Marekani mpaka matajiri kama Elom Musk wanaitumia na hawaweuki ila huku wanawehuka unapata jibu kwamba huku kwetu watu wanatumia bila elimu yake