Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bange ina matumizi mengi sana ikihalalishwa watu wengi watakuwa huru kiuchumi na hawatatawalika!Hata pombe ilikuwa haramu kama bangi ila ikaruhusiwa miaka ya 1930s
Wazungu wametukuta na vilevi vyetu kwanini tufuate sheria zao za vilevi ?
Pombe na Sigara zinaua watu lakini zinaruhusiwa, bangi haijawai kuua na ni dawa ya kansa kwanini inakatazwa ?
Niunganishe na uyo dogoKuna dogo mmoja yeye ni pusher wa skanka,yeye kuanzia saa sita mpaka usiku wa manage ana supply hyo kitu
Kwa wateja wake
Wengi wao madem tena wengine wakali....na wengine wana professional zao .....muda wote yuko na bodaboda kama kishada
Ova
Back 2020 maeneo hayo hayo ya ufukweni, inauzwa pembeni ya kituo cha polisi. Na jamaa kila week wanapita kuchukua chao. Wale wasiokua na konection wanachukuliwa korokoroni. Kesho wako mtaani kazi inaendelea ilipoishia....nilishangaa watu baada ya hili tukio ndio wanajua hizo kashata na biskuti daaahNdy wamejuwa leo mbona hizi kashata kitambo tu wadada wanakula
Ova
Utauweza mziki wake?Nahitaji hizo biskuti
Ndio mkuuUtauweza mziki wake?
Haiwezekani, jamhuri ya chuga na watalii wote waleee....hapanaaaNashangaa mpaka sasahivi hawana branch Arusha
Sahivi zitakua hadimu, supplier si ndio hivo makwaya tyarii....hvi hyo nyumba si inataifishwa ambaoo ndio hiko kiwanda??? Kama vile wakikamata kwenye gari, wanachkua gari.....hapo ndo hvo?Ndio mkuu
Mi sijazipenda ladha yake, zina kauchachu hiviNahitaji hizo biskuti
Ukipewa safari lager unasema ni tamu😀Mi sijazipenda ladha yake, zina kauchachu hivi
Safari ni tamu wewe....ushantia hamuUkipewa safari lager unasema ni tamu😀
Beer tamu jamani😋😋Safari ni tamu wewe....ushantia hamu
Ipi Sere lager ama kili? Iwe inataka kuganda hivi, sema vtambi vinakua haraka sana kwa njia hiiBeer tamu jamani😋😋
Safari ndo beer yangu pendwa. Ukiendekeza beer kitambi lazima, halafu beer mshkaji wake nyama..tatizo lipo hqpo.Ipi Sere lager ama kili? Iwe inataka kuganda hivi, sema vtambi vinakua haraka sana kwa njia hii
Nashukuru mungu kushindwa digest hizo purines, ile gauti sijui miguu kuvimba nilionaga jamaa miguu ilivo weeeee hatari sana starehe garama kweliSafari ndo beer yangu pendwa. Ukiendekeza beer kitambi lazima, halafu beer mshkaji wake nyama..tatizo lipo hqpo.
Bange Industries LimitedMamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imekamata kilogramu 423.54 za bangi iliyosindikwa maarufu kama skanka katika operesheni maalum zilizofanyika kwenye mipaka na fukwe za Bahari ya Hindi.
Kilogramu 158.54 zilikamatwa eneo la Kigamboni na Kawe jijini Dar es salaam zikiwa zimehifadhiwa ndani ya mabegi ya nguo tayari kwa kusafirishwa, kilogramu 265 zilikamatwa katika matukio tofauti mikoa ya nyanda za juu kusini zikiwa zimefichwa ndani ya magan kwa kuchanganywa na bidhaa nyingine ikiwemo maboksi yenye matunda aina ya apples zikisafirishwa kuelekea jijini Dar es salaam.
Aidha, Mamlaka imekamata watu wanaojihusisha na utengenezaji wa biskuti kwa kuchanganya na skanka katika eneo la Kawe jijini Dar es salaam. Katika tukio hilo, watuhumiwa walikutwa wakiendelea na uzalishaji wa biskuti hizo kwa kutumia mtambo mdogo wa kusaga skanka na vifaa vya kutengeneza biskuti za bangi.