Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Muda mfupi uliopita nimefungua soda ya fanta orange nikainywa kama mara mbili na kuiweka mezani ghafla nikashtuka kuona kitu cha rangi kama nyeusi kwa chini ya chupa, ikabidi nimwage soda kwenye sink kitu hicho kiligoma kutoka hadi imebidi nitumie opener ya wine kukitoa ndani ya chupa.
Muda huo ndipo nikagundua ni kipande cha mbao, nimepiga picha na chupa ninayo
NB: Nimenunua crate zima na soda nimefungulia nyumbani, picha hizo ni kabla ya kukitoa hicho kipande cha mbao na baada.
Muda huo ndipo nikagundua ni kipande cha mbao, nimepiga picha na chupa ninayo
NB: Nimenunua crate zima na soda nimefungulia nyumbani, picha hizo ni kabla ya kukitoa hicho kipande cha mbao na baada.