Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Alishaifungua so still ni useless. Alitakiwa asiifungue kabisa.Ulitakiwa usimwage soda ushapoteza ushahidi, na kujikosesha mtonyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alishaifungua so still ni useless. Alitakiwa asiifungue kabisa.Ulitakiwa usimwage soda ushapoteza ushahidi, na kujikosesha mtonyo
Niko Lake zone,hii ni coca cola kwanzaUpo wapi mkubwa? Kama mnavyojua Coca cola hapa Tanzania zinazilishwa na Bonite Bottlers na Coca cola kwanza.
Eneo lako ndio litafanya tujue nani amezalisha hiyo Coca cola yako.!!
Pole mkuu,ajali kazini sawa na kondomu kupasuka wakati wa kunyandua.
Mwambie mkeo awe anakutengenezea juisi halisi nyumbani unywe kwa raha zako achana na soda zao.Niko Lake zone,hii ni coca cola kwanza
Kila mtu humu Jf ameoa au kuolewa sasa?Mwambie mkeo awe anakutengenezea juisi halisi nyumbani unywe kwa raha zako achana na soda zao.
Nina akili timamu, mimi ni wa kitambo zamani kulikuwa na ushindani wa aina hii wa kuharibiana na baadhi ya biashara ziliharibika kweli sio mchezo.Mkuu una akili timamu ? Niharibu biashara ya watu ili nifaidike nini masikini kama mimi ? ,Sina interest yoyote na post hii