Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
🤣🤣🤣🤣🤣Kitakuwa kimetoka mdomoni kiongozi,Yani umekicheulia kwenye chupa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣Kitakuwa kimetoka mdomoni kiongozi,Yani umekicheulia kwenye chupa
Soda ilikuwa ndani ya fridge ,yani nimefika na kutoa tu,chenyewe kipo chini ni ngumu kuona kwa harakaUngekiona kabla ya kuifungua
Lengo la kuleta humu ni kuifahamisha jamii tu.Unakula vichafu vingapi 😂😂😂 we kunywa soda na tutaaminije kama hujaweka ww hicho kimbao tuonyeshe na kreti
Mtu mzima wa miaka 20's nakula mbao ?😂Nimetizama vizuri it's possible kukicheuwa sina shaka na ilo
Ni sahihi, nimeona ata mimi niache haya mambo ya sodaSoda inayotengenezwa chini ya uangalizi maalum ni Sprite! Ma boza yanahusika kunapokuwa na shida ya maji. Sasa si unajua Boza maji zinakotoa? Nunua matunda mkuu mpe shemeji akutengenezee Juice
Unajisikia ulichokiongea mkuu?tanzania ndio nchi chupa za soda zinarudishwa ila kwa wenzetu chupa za soda au bia zinatupwa na kurudishwa kiwandani kusagwa kwa ajili ya kutengeneza chupa mpya
huwenda uliachama kinywa bila kutarajia na kukimeza, kikubwa shukuru Mungu umekicheuwa na kufaniliwa kukiona hilo ni onyo pia ,nikutakie mwaka mpya wenye mafanikio teleMtu mzima wa miaka 20's nakula mbao ?😂
Watu hapo juu wanasema ningepewa fidia kabla ya kufungua chupa, tatizo nimekuja kugundua wakati nimefunguaNchi masikini unaweza kununua soda chupa imepauka utakuta imetumika kwa watu 20 na imetembea nchi nzima chupa hiyo hiyo
Kama unabisha andika namba yako ya simu kama hujapigiwa kutoka simiyu na wewe uko Dar [emoji1] [emoji1787] [emoji23] joking
Ila wanaiaibisha kampuni kubwa namna hiyo kwa kuzungusha chupa zilizochakaa mpaka maandishi yamefutika
Hivi hawana wakaguzi wa nje?
Hapo ilikuwa upeleke ukadai fidia kiwandani kabisa au kuwatumia email na picha zote wahusika
Ni kweli ila hata ungepeleka hivyo hivyoWatu hapo juu wanasema ningepewa fidia kabla ya kufungua chupa, tatizo nimekuja kugundua wakati nimefungua
Nitaenda kesho depot nione watasemaje Mkuu, japo najua kwa hapa Africa zitakuwa fix nyingi tuNi kweli ila hata ungepeleka hivyo hivyo
Kuna mama mmoja hapa uk alinunua baked beans tena kampuni ya hadhi kubwa sana Heinz, ndani alikuta panya kafa
Unaona hapo alifungua kopo ndio kukuta panya ndani ilikuwa kesi na ilibidi makopo yote yaondolewe kwenye shelf zote
Mimi nilikiwepo wakati huu msala umetokea
Na hii nimeweka kwa ushahidi
Kampuni ilimpa fidia ila walisema hatuwezi kuamini kama ni panya mmoja tu kwa hiyo zote zitolewe sokoni nchi nzima kwa mda huo View attachment 2464816
Ni kweli kabisa,nyingine hazina povu wala sauti ya gas ukifunguaHizo soda siku hizi hazieleweki,kuna saa coca cola unakuta ina ladha ya fanta,suparleta,sprite ili mradi kero tu
At least wajua kuna tatizo la uchafuNitaenda kesho depot nione watasemaje Mkuu, japo najua kwa hapa Africa zitakuwa fix nyingi tu