dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Si elimu hanaUlitakiwa usimwage soda ushapoteza ushahidi, na kujikosesha mtonyo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si elimu hanaUlitakiwa usimwage soda ushapoteza ushahidi, na kujikosesha mtonyo
Soda waachiwe watoto, mtu mzima kunywa soda ni kufuru.Muda mfupi uliopita nimefungua soda ya fanta orange nikainywa kama mara mbili na kuiweka mezani ghafla nikashtuka kuona kitu cha rangi kama nyeusi kwa chini ya chupa, ikabidi nimwage soda kwenye sink kitu hicho kiligoma kutoka hadi imebidi nitumie opener ya wine kukitoa ndani ya chupa.
Muda huo ndipo nikagundua ni kipande cha mbao, nimepiga picha na chupa ninayo
NB: Nimenunua crate zima na soda nimefungulia nyumbani, picha hizo ni kabla ya kukitoa hicho kipande cha mbao na baada.
View attachment 2464748View attachment 2464749View attachment 2464750View attachment 2464753
Na mimi nimeamua kuacha soda Mkuu,Miaka ya nyuma huko kuna mtu aliwahi kukuta nywele, nadhani naye pia aliwashtaki. Nimewahi kufanya utafiti mdogo kwa kuuliza wakati nafanya kazi ya muda hapo cocacola kwanza, niliambiwa tatizo sio soda bali ni chupa kuna baadhi kutokana na utunzaji.
Kuna baadhi ya vitu wakati wa kusafisha vinashindwa kutoka na kama hakuna atakayeina basi soda inajazwa na kufungwa hadi sokoni. Ilitakiwa wenye depot wakague maana wakati mwingine kiwandani wanakuwa na kazi nyingi. Akiikagua chupa na kukuta hitilafi yoyote anarudisha kiwandani.
Wito wangu ni kwa baadhi ya wateja wanaotumia soda za chupa wajitahidi kuzitunza vizuri. Wengi wanzihifadhi vibaya utadhani hatatumia tena. Na ndii maana binafsi sipendi sana kutumia soda za chupa
Ungetaja na nchi kabisatanzania ndio nchi chupa za soda zinarudishwa ila kwa wenzetu chupa za soda au bia zinatupwa na kurudishwa kiwandani kusagwa kwa ajili ya kutengeneza chupa mpya
ZanzibarUngetaja na nchi kabisa
Tatizo sio soda. Labda kama utaacha kwa sababu za kiafya.Na mimi nimeamua kuacha soda Mkuu,
Asante kutufungulia mwakaKitakuwa kimetoka mdomoni kiongozi,Yani umekicheulia kwenye chupa
😂😂😂😂 Dah huu mwaka uishe tuKitakuwa kimetoka mdomoni kiongozi,Yani umekicheulia kwenye chupa
TFDA haipo siku hizi wapo jamaa wanajiita TMDA!!Aise hatariiii Sana
TBS TFDA wapo tuu
Halafu wamepandisha bei zao
Uchafu
Propaganda za kizamani kabisa za kuharibu biashara za watu, stop that hiyo siyo njia sahihi ya USHINDANI WA KIBIASHARA.Muda mfupi uliopita nimefungua soda ya fanta orange nikainywa kama mara mbili na kuiweka mezani ghafla nikashtuka kuona kitu cha rangi kama nyeusi kwa chini ya chupa, ikabidi nimwage soda kwenye sink kitu hicho kiligoma kutoka hadi imebidi nitumie opener ya wine kukitoa ndani ya chupa.
Muda huo ndipo nikagundua ni kipande cha mbao, nimepiga picha na chupa ninayo
NB: Nimenunua crate zima na soda nimefungulia nyumbani, picha hizo ni kabla ya kukitoa hicho kipande cha mbao na baada.
View attachment 2464748View attachment 2464749View attachment 2464750View attachment 2464753
We [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Me nlishawahi kuta upindo wa condom kwenye bia
siku nyingine tafuta namba zao wapigiye uwajulishe kabla ya haya,mimi niliwahi kuona vichembe vya uchafu kwenye maji ya kitulo nikawapigia kabla ya kufungua wakasema nipeleke niliponunuwa wakanibadilishia.Muda mfupi uliopita nimefungua soda ya fanta orange nikainywa kama mara mbili na kuiweka mezani ghafla nikashtuka kuona kitu cha rangi kama nyeusi kwa chini ya chupa, ikabidi nimwage soda kwenye sink kitu hicho kiligoma kutoka hadi imebidi nitumie opener ya wine kukitoa ndani ya chupa.
Muda huo ndipo nikagundua ni kipande cha mbao, nimepiga picha na chupa ninayo
NB: Nimenunua crate zima na soda nimefungulia nyumbani, picha hizo ni kabla ya kukitoa hicho kipande cha mbao na baada.
View attachment 2464748View attachment 2464749View attachment 2464750View attachment 2464753
Mkuu una akili timamu ? Niharibu biashara ya watu ili nifaidike nini masikini kama mimi ? ,Sina interest yoyote na post hiiPropaganda za kizamani kabisa za kuharibu biashara za watu, stop that hiyo siyo njia sahihi ya USHINDANI WA KIBIASHARA.
Inawezekana ikawa kweli maana hiko kimbao haiwezekani kwamba kiliwekwa kiwandani sababu kimewekwa kwa makusudiTatizo sio soda. Labda kama utaacha kwa sababu za kiafya.
Tatizo kubwa ni utunzaji wa chupa. Watu wengi kwenye nchi yetu hawana ustaarabu ktk kutunza vitu vinavyoweza kutumika mara kwa mara na watu wengine.
Mfano utakuta mtu anaweka vitu mahali pasipofaa na wala hajali kama atatumia tena.
Vyuoni kuna tabia hii sana. Wanachuo tena wasomi, wanatumia sahani za canteen wakimaliza wanaziacha nje kwenye mifereji na kama wahudumu hawajaziona maana yake ni kwamba zitalala hapo na pengine kulambwa na mbwa au paka.
Sasa hapo labda uamue kununua chombo binafsi au cha take away kama utajisikia vibaya kutumia tena sahani kutokana na hisia (tujue watu unatofautiana hisia)
Hata hivyo elimu ya utunzaji wa mali ya umma na hata binafsi, inahitajika sana!