Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Ndio nini Mkuu ?Cocacola ni 6 sigma??
Nilikuwa na hofu sana,nilipojua ni mbao hofu imeisha,nimemwaga sababu nilidhani ni uchafu mkubwa sana ,bora hofu imepunguaUlitakiwa usimwage soda ushapoteza ushahidi, na kujikosesha mtonyo
Mkuu,ukimeza hako unakufa,ni mbao kabisa yani,ningekuwa na pesa ningewashitakiKitakuwa kimetoka mdomoni kiongozi,Yani umekicheulia kwenye chupa
Hili nalo nendeni mkalitizameMuda mfupi uliopita nimefungua soda ya fanta orange nikainywa kama mara mbili na kuiweka mezani ghafla nikashtuka kuona kitu cha rangi kama nyeusi kwa chini ya chupa,ikabidi nimwage soda kwenye sink kitu hicho kiligoma kutoka hadi imebidi nitumie opener ya wine kukitoa ndani ya chupa
Muda huo ndipo nikagundua ni kipande cha mbao,nimepiga picha na chupa ninayo na kipande hicho nimerudishia
NB
Nimenunua crate zima na soda nimefungulia nyumbani
View attachment 2464748View attachment 2464749View attachment 2464750View attachment 2464753
Nimetizama vizuri it's possible kukicheuwa sina shaka na iloMkuu,ukimeza hako unakufa,ni mbao kabisa yani,ningekuwa na pesa ningewashitaki
Ni usimamizi wa uzalishaji ambao unatumia statistics kupunguza idadi ya makosa kwenye bidhaa (final product) mpaka kufikia bidhaa zenye makosa ma3.4 katika bidhaa Millioni moja.Ndio nini Mkuu ?
Hivi bado Kuna watu wanakunywaga soda. Yaani mie nishahaau kitambo mno kunywa soda. Sijui haya ma energy,apple punch ya mo,azama,sayona,Jambo ndio kabisa hayajawahi pita mdomoni mwangu jamani.Muda mfupi uliopita nimefungua soda ya fanta orange nikainywa kama mara mbili na kuiweka mezani ghafla nikashtuka kuona kitu cha rangi kama nyeusi kwa chini ya chupa,ikabidi nimwage soda kwenye sink kitu hicho kiligoma kutoka hadi imebidi nitumie opener ya wine kukitoa ndani ya chupa
Muda huo ndipo nikagundua ni kipande cha mbao,nimepiga picha na chupa ninayo na kipande hicho nimerudishia
NB
Nimenunua crate zima na soda nimefungulia nyumbani
View attachment 2464748View attachment 2464749View attachment 2464750View attachment 2464753
Ulishafungua chupa huna cha kushtaki.Mkuu,ukimeza hako unakufa,ni mbao kabisa yani,ningekuwa na pesa ningewashitaki
Kwasababu ushafungua chupa, unaweza kuambiwa unachafua tu kampuni. Umetumwa na mshindani.Muda mfupi uliopita nimefungua soda ya fanta orange nikainywa kama mara mbili na kuiweka mezani ghafla nikashtuka kuona kitu cha rangi kama nyeusi kwa chini ya chupa,ikabidi nimwage soda kwenye sink kitu hicho kiligoma kutoka hadi imebidi nitumie opener ya wine kukitoa ndani ya chupa