Kiwanda cha kutengeneza magari nchini Kenya,chatengeneza gari la MOBIUS,

Kwani Kantanka la Ghana stori zake ziliishia wapi. Nchi hata kujitosheleza kwa chakula na mahitaji mengine bado lakini inakimbilia kutengeneza gari. Ajabu hii.
Kwan kantanka umelitafuta wap??
 
Viongozi wetu wanadhani Tanzania itaisha wamesahau kuwa wao ndio wanapita Tanzania itabaki wanashughurika na matumbo yao kuweka ziada nje mawazo ya maendeleo hakuna hongera kenya
 
Gari inatembea muonekano wa nje haujalishi tuwapongeze tuache roho za korosho wapo mbali sana kwa kila kitu
Wapo mbali sana kwa kitu kipi na kipi? au ndo ushabiki maandazi huu..
 
limetengenezwa na waafrika tena ma-shithole haswaa??aaahh siwezi kupanda hata nishikiwe gobole...linaitwaje vile MOBIUS....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…