Kiwanda cha kutengeneza magari nchini Kenya,chatengeneza gari la MOBIUS,

Kiwanda cha kutengeneza magari nchini Kenya,chatengeneza gari la MOBIUS,

Gari mpya haihitaji spea mkataba 5 years ndipo uhitaji spea taja vitu kama nyumbu car kununua wapinzani kupiga marufuku mikutano ya siasa watu kushambuliwa kwa siraha za moto nasi tunavyo vya kulingia
Naona mmeshajazana humu na kiswahili chenu kibovu
 
Nasikia huko kenya mtu akimiliki smart phone anajiona ameula, vipi njaa bado inawasumbua tuwaletee mahindi
Unalitunza kumbukumbu vizuri kujua Kagera ni vitu gani vilipelekwa baada ya ile patasi yenu ya Kivukoni kususia kupeleka misaada.?
 
Hongera sana taifa la kenya, huku sisi Bado tunanunua madiwani ambao ni spea muhimu kwenye uundaji wa viwanda!!!
 
Gari mpya haihitaji spea mkataba 5 years ndipo uhitaji spea taja vitu kama nyumbu car kununua wapinzani kupiga marufuku mikutano ya siasa watu kushambuliwa kwa siraha za moto nasi tunavyo vya kulingia
Vyema, kumbe unalijua hata Nyumbu. Basi mada iishie hapa. Si jambo la kwanza hili East Africa, haswa Tz.
 
Msijali, na sisi tutazindua magari ya Nyumbu muda si mrefu. Si unajua tena Tanzania na Kenya wana tabia za kushndana. Lakini tuwaunge mkono majirani zetu kwa kuwa miongoni mwa wanunuzi wakubwa. Hii itaboresha uhusiano tulionao pia. Sisi pia tutakapozindua letu tutawauzia pia.
 
Vyema, kumbe unalijua hata Nyumbu. Basi mada iishie hapa. Si jambo la kwanza hili East Africa, haswa Tz.
Fufueni hiyo nyumbu basi tunatamani kweli nasi tuone fahari kuendesha gari tuliyounda wenyewe
 
Lakini bado wanaongoza kwa kuwa na Slums kubwa zaidi Afrika. Kibira, Mathare, Dandora and others. Kweli ubepari ni unyama ........
 
Wao bidhaa za Tanzania hawanunui ni wabaguzi kama nini mfano tu makaa ya mawe wananunua South Africa wanasema yakwetu hayana ubora
Uliza kiwanda cha karatasi mgororo makaa ya mawe wanatoa wapi wananunua afrika kusini kama nyinyi hamtumii ya kwenu iweje wao wanunue hayo mabuvu
 
Fufueni hiyo nyumbu basi tunatamani kweli nasi tuone fahari kuendesha gari tuliyounda wenyewe
Tuifufue tena? Kwani lini ílikufa? Sema labda wayatengeneze ya kiaraia.
 
Back
Top Bottom