Wewe Mmawia vipi? Hivi hujui kuwa Kenya uchumi wake ni wa kati wa viwanda tangia miaka zaidi ya 10 iliyopita? Sasa kwa nini unataka kutulinganisha na wakenya?
Dhamira (Vision) yetu ni kuwa na sisi tuweze kuwa na uchumi wa kati wa viwanda ifikapo 2025. Vision hii itaweza kufikiwa si kwa kuwaonea wivu wakenya au wachina bali kwa kufanya kazi na kuacha porojo za siasa. Hapa Kazi tu ndiyo itatufikisha huko. Wakenya walishatutangulia kufika huko, hivyo hata na sisi tutakapofika huko wao watakuwa wameenda mbele zaidi unless porojo za siasa ziwe zimewarudisha nyuma!