Kiwanda cha kutengeneza magari nchini Kenya,chatengeneza gari la MOBIUS,

Kiwanda cha kutengeneza magari nchini Kenya,chatengeneza gari la MOBIUS,

Kenya kuna ttz la ajira,kuna upungufu wa chakula watoa huduma za afya ni shida sana kila siku migomo.Haya bavicha hawayaoni hata kidogo huko Kenya. Wanaunga mkono yanayotokea Kenya,jambo hilo hilo likitokea Tanzania utasikia watu hawana ajira ye ananunua ndege mara ooh anajenga flyovers mara reli wakati mishahara iko chini.Ni bavicha anasifia flyover na ndege ya Kenya lkn anapinga Ya Tanzania. Aliyesema BAVICHA NI NYUMBU enzi za akina Plato naye angekua GREAT PHILOSOPHER.
Naona unajifanya huyaoni maendeleo ya jirani zako unashikilia ujinga wa nyumbani kwako,jifunze kutoka kwa jirani yako
 
Vema mkuu wana barabara ya njia sita wana treni yamwendo kasi mombasa Nairobi wana fly over wana demokrasi ya siasa uhuru wa mahakama bado huoni kuwa wametuacha angalia hata fedha yao kwa dorali penye ukweli uongo hujitenga mkuu
Kweli tupu mkuu
 
Suala hapa ni pongezi kwa wenzetu wa Kenya kupiga hatua ya kutengenza gari yao wenyewe
Ndo nmekuswalika nchi yako haijawah hata kuwa na jema moja maana umesema hakuna cha kusifia
 
Kwani Kantanka la Ghana stori zake ziliishia wapi. Nchi hata kujitosheleza kwa chakula na mahitaji mengine bado lakini inakimbilia kutengeneza gari. Ajabu hii.
Sio serikali ndio imeunda gari...ni private sector..wenzetu wanaithamini private sector..sio sisi tunaiua
 
Kama mnavyosifia vya nje bx muwe mnakaa kushabikia japo vidogo vya kwenu

Kinyume na hivyo mnatupa wasiwasi mnapoahid kupambana na ufisad alaf yrs later mnamsafisha icon wa ufisad

Kinyume na hapo mnatupa wasiwasi mnaposema fulan n wazir mzigo na asafarisha wanyama wetu ktk ndege,fulan anashabikia ushoga, fulan amekaa kupga picha za vimwana later mnamsafisha na kumpaka rangi na kumsajl nyala.nd

Kinyume na hvyo mnatupa wasiwasi mnaponad aman ilhal akiuawa polisi mnacheka akiuawa gaid la kibit mnalaum

Kinyume na hapo mnatupa wasiwasi mnaposema shirika la ndege linakufa halina hata ndege moja then zikinunuliwa hata kibombadier mnaenda kuwanyenga "white pigs" wakamate na kuzizuia huku mkishadadia mitandaon

I NEES CHANGE YES
ILA SIYO KWA KUWAAMIN MANDUMILA KUWILI
Hiv vitu na hii tabia yenu ya kushoboka na vya jiran itawaponza sana
 
Back
Top Bottom