Naona unajifanya huyaoni mabadiliko Tanzania tuyoyapata kwa sasa.Ishu ni kuchagua kuwa mpiga zumari wa Kenya na kuponda ya Tanzania. Ni kweli Kenya imepiga hatua na hatua ilizopiga hazitofautiani na harakat anazofanya jpm kufikia hatua za Kenya.mfano Kenya wakati wanajenga reli,flyover na kununua ndege matatizo kama ajira,huduma mbovu za afya na mishahara midogo iikuwepo.Kenya hadi sasa hayo matatz yapo lkn bado inaendelea kuboresha miundombinu.Hufuatilii siasa chafu za UK dhidi ya wapinzani wake na zaid umejikita kuangalia tabasam lake.Jitaihid kufuatilia makala za jicho pevu uone mauaji ya saitoti,viongoz wa dini na madhira kibao.
Jpm akinunua ndege mnaleta kelele ooh watu hawana ajira ye ananunua ndege,mbona hampigi kelele mwaka Jana umetokea mgomo Kenya na serikali yao haikusitisha mpango wa kununua ndege?Mlivyo mapimbi mnayosifia Kenya ndio yanayofanyika Tanzania sema mmeamua kuwa upande wa kupinga kila kitu.Wakenya wana akili sana,wao wanasifia kila kitu chao na hata kama sio chao wanataman kiwe chao.Hukuti Raila anakuja Tanzania kuitisha press Tanzania kuiponda serikali ya Kenya.Hakuna serikali inachowafanyia zaid ya uzalendo wao.Kuna migogoro mingi sana Kenya lkn hukuti mtu analeta tabia za NYUMBU wa ufipa.
Niseme tu,anachofanya jpm kwa sasa tulichelewa sana,wenzetu walikifanya mda sana na ktk mazingira kama hayahaya.Utofauti ni wakenya akili nyingi na hawana siasa za kipumbavu za kupinga kila kitu cha serikali.