Lukwafya bhagasi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 1,236
- 1,252
Huku kuna viwanda vya uchaguzi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WAnaohusika na chakula na wanaohusika na utengenezaji wa magari ni watu wawili tofauti.Kwani Kantanka la Ghana stori zake ziliishia wapi. Nchi hata kujitosheleza kwa chakula na mahitaji mengine bado lakini inakimbilia kutengeneza gari. Ajabu hii.
Nimerejea post za huko juu. sijaona post hata moja iliyokuomba upande hilo gari. Be positive.limetengenezwa na waafrika tena ma-shithole haswaa??aaahh siwezi kupanda hata nishikiwe gobole...linaitwaje vile MOBIUS....
Duh. Tz kuna mashithole mengi kma ww.Wapo mbali sana kwa kitu kipi na kipi? au ndo ushabiki maandazi huu..
KwaniniHayatakanyaga ardhi wa Tanzania
Haya sasa, nani atakaenunua wakati wanunuzi wenyewe hawana hata pesa ya kununulia unga.Kaliaga hayo, wenzio katika dunia ya leo wanatengeneza kitu kinacho uzika sokoni kuliko hayo mawazo yako ya kimasikini. Kama vipi, unaonaje hilo wazo ukilifanyia wewe kazi badala ya hao wenzio Wakenya walio amua kutengeneza gari!? Maandishi yako yamesukumwa na WIVU tu na sio kitu kingine.
Well, Japan ni miongoni mwa nchi tajiri sana duniani but still nao wanaagiza sehemu kubwa ya chakula chao nje ya nchi. Halafu pia haipo nchi duniani iliwahi kutajirika to the maximum kwa kutegemea kilimo
unataka picha yake?Liko wapi?
Nunueni vyerahani
Liko wapi?