Kiwanda cha kutengeneza magari nchini Kenya,chatengeneza gari la MOBIUS,

Kiwanda cha kutengeneza magari nchini Kenya,chatengeneza gari la MOBIUS,

Gari inatembea muonekano wa nje haujalishi tuwapongeze tuache roho za korosho wapo mbali sana kwa kila kitu
Mimi nataka nijue wemetumia technolojia gan au wameunganisha vifaa tu kazi ambayo hata garage bubu zinafanya
 
Na sisi Tz karibia tunazindua viwanda vya Vyerehani kila kijiji.

Ila hongera yao kwa kweli kwa kututangulia.
 
Sie bado tunaendele na biashara ya kununua wapinzani, tukimaliza hapo ni kuwashughulikia wale walioshindikana kununuliwa, tukitoka hapo tunaunda ndege, nini gari wewe!
 
Sisi kwa sasa hatuwezi kwa sababu kadhaa:
1. Makamanda wamekuwa wapingaji wa kila kitu, kwa hiyo hata likiwa zuri namna gani watalipinga tu na ku-discredit.
2. Tuna shetani (mshitaki) wetu ambaye hatari kuona tunapita hatua yoyote ya maendeleo. Tukifikia hatua ya kutengeneza gari ataenda kutushitaki kwa wanaotusaidia ili tunyimwe misaada ambayo inatusaidia kutoa huduma za kijamii, [HASHTAG]#lissumsaliti[/HASHTAG]. Matokeo yake wananchi wa kawaida ndo watakaokosa huduma za kijamii.
Tutatengeneza gari letu tukipata upinzani unaona li na kuweka mbele utaifa kwanza.
 
Vema mkuu wana barabara ya njia sita wana treni yamwendo kasi mombasa Nairobi wana fly over wana demokrasi ya siasa uhuru wa mahakama bado huoni kuwa wametuacha angalia hata fedha yao kwa dorali penye ukweli uongo hujitenga mkuu
Kweli mkuu, wao hata wana marais wawili sisi tunaye mmoja tu!
 
2f64e78dcbb7fa9e0aeb4f37f5b8a175.jpg
SIKU SI NYINGI NDOTO YETU YA NCHI YA VIWANDA ITATIMIA...NASIKIA TUTAZINDUA TUKTUKU ZA MBAO !!!
 
Mbona hio gari ina nembo ya co. Ya magari ya ufaransa ya RENAULT?
 
Japan wanalima chakula gani kweli!?
Mkuu umeshawahi kufika Japan,Japan wanalima sana,katika miji ya Japan kila kona kuna viji-eka unawakuta wanajapan wanalima mpunga na vitu vyengine

"Rice is by far the most important crop in Japan and planted on the best agricultural land. Other crops grown in Japan include soybeans, wheat, barley, and a large variety of fruit and vegetable"....
 
Inaonekana bado mdogo sana mtoa maada, Tanzania ilshawahi kuunda magari wakati wewe hujazaliwa wala Kenya haijafikiria, tembelea shirika la Nyumbu pale Kibaha ujionee. Ingawaje kwa sasa wamesimaa kuunda magari kwa sababu zilizo nje ya kampuni.
 
Back
Top Bottom