Point taken[emoji124]Uliza kiwanda cha karatasi mgororo makaa ya mawe wanatoa wapi wananunua afrika kusini kama nyinyi hamtumii ya kwenu iweje wao wanunue hayo mabuvu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Point taken[emoji124]Uliza kiwanda cha karatasi mgororo makaa ya mawe wanatoa wapi wananunua afrika kusini kama nyinyi hamtumii ya kwenu iweje wao wanunue hayo mabuvu
Watu wa kusini mnakuaga wabishi kama Waha.Nani kakudanganya?
Tanzania Will not be Outdone, They are Making Trucks, Meet the NyumbuSiyo picha,issue ni jee hicho kiwanda bado kinaendelea kuzalisha?
Wengine wanasema Kenya wametushunda kwa kila kitu! Kama ndivyo tujiulize kati ya wakenya na watz ni wepi ambao wamejaa ktk nchi ya wenzao kusaka vibarua majumbani na maeneo ya starehe? Hicho kwangu ni kipimo kikubwa cha maendeleo endelevu na jumuifu. Huwezi kuanza majaribio ya kurusha roketi ama kutekeleza magari wakati watu wako zaidi ya asilimia 80 ni masikini wa kutupwa.
Wengine wanasema Kenya wametushunda kwa kila kitu! Kama ndivyo tujiulize kati ya wakenya na watz ni wepi ambao wamejaa ktk nchi ya wenzao kusaka vibarua majumbani na maeneo ya starehe? Hicho kwangu ni kipimo kikubwa cha maendeleo endelevu na jumuifu. Huwezi kuanza majaribio ya kurusha roketi ama kutekeleza magari wakati watu wako zaidi ya asilimia 80 ni masikini wa kutupwa.
Kwa nini ndugu?Hayatakanyaga ardhi wa Tanzania
amini ninakwambia mtu akiweka hapa hilo gari lenu na baiskeli..!!mi nachagua baiskeli!!Kapande lenu la polepole
HATA SISI TUNAZINDUA ELECTRONIC PASPORT, HIVYO NGOMA DRAW
Whatever
ni mawazo yangu tu ya ki-shithole shithole wala usiyazingatie saaana!!!sawa mkuu???Nimerejea post za huko juu. sijaona post hata moja iliyokuomba upande hilo gari. Be positive.
wewe tajiriKwakuwa wewe ni masikini
Namshauri Uhuru amwalike mkuu wetu kule halafu ampatie moja kama zawadi yake binafsi.Hayatakanyaga ardhi wa Tanzania
A number of African countries chose institutions of higher learning like universities to develop cars like Nyayo Pioneer cars of the University of Nairobi in Kenya, which was commissioned by the then president Daniel Toroitich arap Moi,while Uganda featured with the Kiira EV of Makerere University, this project has continued to grow ever since. The Kiira will be going on sale this year possibly.Whatever
amini ninakwambia mtu akiweka hapa hilo gari lenu na baiskeli..!!mi nachagua baiskeli!!
Kwa sasa tunapimana vibamia tuA number of African countries chose institutions of higher learning like universities to develop cars like Nyayo Pioneer cars of the University of Nairobi in Kenya, which was commissioned by the then president Daniel Toroitich arap Moi,while Uganda featured with the Kiira EV of Makerere University, this project has continued to grow ever since. The Kiira will be going on sale this year possibly.
Tanzania was also onto something
Tanzania at the same time was using the national Ministry of Defense and National Service to develop their own vehicles. The Tanzania Automotive Technology Center (TATC) was tasked with coming up with technological innovations.
The TATC received their start up and subsequent funding for uplifting and maintenance from the government coffers. The center designs, develops and manufactures motor vehicles and other pieces of machinery in line with its mission. Several vehicle models have since been produced pursuant to this dream. Check out some of the trucks developed and manufactured by the TATC.
Tanzania Automotive Technology Centre (TATC). Established with an idea of creating a Centre of excellence in Tanzania to advance technology innovations, with the ultimate aim of attaining self reliance in technology relevant to the economic and social well-being of our country.
TATC was established in 1985 by a presidential decree, as a Research and Development Government Institution under the Ministry of Defence and National Service. The Centre is wholly owned by the Government of the United Republic of Tanzania.
[rev_slider Nyumbu]
Establishment Purpose
To create a Centre of Excellence in Tanzania to advance technological innovations, with the ultimate aim of attaining self reliance in technology relevant to the economic and social well being of the country.
Building of TATC
TATC was built through heavy Government investment , leading to;
• Technology acquisition through ‘technology transfer initiatives’ between Timoney Technology Ltd of the republic of Ireland and the Government of the United Republic of Tanzania.
• Construction of the TATC technology infrastructure from a green field
Principal Functions of TATC
To adapt existing engineering technology to alleviate some of the existing problems in transport, agricultural machinery and industry (implementation or pursuit of this function results into adapted or reverse engineered technologies)
To design and develop for production, vehicles, plant and machinery suited to the needs of Tanzania. (implementation or pursuit of this function results into TATC developed technologies).
To conduct research in materials for use in field of mechanical engineering (Material research, metal plastics, rubber, composites.)
To provide consultancy services in the fields of electro-mechanical engineering (industrial consultancy services)
To act as a high technology training Centre.
To conduct quality assurance of land equipment and machinery purchased by the Government.
To undertake any special engineering tasks as directed by the Government
![]()