Kiwanda cha kutengeneza magari nchini Kenya,chatengeneza gari la MOBIUS,

Kiwanda cha kutengeneza magari nchini Kenya,chatengeneza gari la MOBIUS,

Wanatengeneza Magari Yasiyo na Quality wanasingizia Mabarabara ya afrika..Wakenya Bhana
 
Vema mkuu wana barabara ya njia sita wana treni yamwendo kasi mombasa Nairobi wana fly over wana demokrasi ya siasa uhuru wa mahakama bado huoni kuwa wametuacha angalia hata fedha yao kwa dorali penye ukweli uongo hujitenga mkuu
Kwa hiyo ulivyotaja hapo ndo tayari wametuzidi kwa kila kitu?
 
2f64e78dcbb7fa9e0aeb4f37f5b8a175.jpg
Wewe Mmawia vipi? Hivi hujui kuwa Kenya uchumi wake ni wa kati wa viwanda tangia miaka zaidi ya 10 iliyopita? Sasa kwa nini unataka kutulinganisha na wakenya?

Dhamira (Vision) yetu ni kuwa na sisi tuweze kuwa na uchumi wa kati wa viwanda ifikapo 2025. Vision hii itaweza kufikiwa si kwa kuwaonea wivu wakenya au wachina bali kwa kufanya kazi na kuacha porojo za siasa. Hapa Kazi tu ndiyo itatufikisha huko. Wakenya walishatutangulia kufika huko, hivyo hata na sisi tutakapofika huko wao watakuwa wameenda mbele zaidi unless porojo za siasa ziwe zimewarudisha nyuma!
 
Mkuu taja tulivyonavyo sisi vifaavyo kulinganisha na Kenya elimu yao iko juu wanaunda gari sisi kipi cha kujivunia taja
 
Mkuu taja tulivyonavyo sisi vifaavyo kulinganisha na Kenya elimu yao iko juu wanaunda gari sisi kipi cha kujivunia taja
Elimu ya nani ipo chini, ukitumwa gari utaleta hiyo skrepa..
 
Elimu ya nani ipo chini, ukitumwa gari utaleta hiyo skrepa..
b587aba61e8bd6b1d16ed2949bfe7bba.jpg

Najua ungeishia kurusha "vipumulio" kama ndugu zako hao. Maana miaka zaidi ya 50 ndio kilichojitahidi kutengeneza.
 
Elimu ya nani ipo chini, ukitumwa gari utaleta hiyo skrepa..
Gari mpya haihitaji spea mkataba 5 years ndipo uhitaji spea taja vitu kama nyumbu car kununua wapinzani kupiga marufuku mikutano ya siasa watu kushambuliwa kwa siraha za moto nasi tunavyo vya kulingia
 
b587aba61e8bd6b1d16ed2949bfe7bba.jpg

Najua ungeishia kurusha "vipumulio" kama ndugu zako hao. Maana miaka zaidi ya 50 ndio kilichojitahidi kutengeneza.
Nasikia huko kenya mtu akimiliki smart phone anajiona ameula, vipi njaa bado inawasumbua tuwaletee mahindi
 
Back
Top Bottom