Kiwanda cha kutengeneza magari nchini Kenya,chatengeneza gari la MOBIUS,

Tuwapongeze kuwa wameweza anagalau kutengeza hio gari tu. Ila 28 Million unaweza pata a very nice car compare na huo mkusanyiko wa vyuma wa Mobius.

Total less effort wa put in designing the car, wamejaribu kuifanya ionekane kama high end car ivi lakini interior is a complete disaster for any 2018 Car.

Inaonekana wamechukua land rover za zamani wakazifufua na kuzichomea baadhi ya sehemu.
 
Huyu mwij anajua nini!wao kila kitu ni siasa tu.....
Wananchi wa kawaida tu wakiunda vyombo vyao wanaishiwa kutishwa kufunguliwa mashtaka

Ova
 
Ila waafrika hawachelewi, unaweza kua spid ghafla unajikuta umekaa chini, tair linaelekea...mtaroni na spana imekulalia ubavuni,.... Matair mengne yanaendelea na safar, yaani gari limeparanganyika.. Ila all in all hongera yao...
 
Ila waafrika hawachelewi, unaweza kua spid ghafla unajikuta umekaa chini, tair linaelekea...mtaroni na spana imekulalia ubavuni,.... Matair mengne yanaendelea na safar, yaani gari limeparanganyika.. Ila all in all hongera yao...
Hahaha
 
Wivu wa kijinga huo
 
Kwani Kantanka la Ghana stori zake ziliishia wapi. Nchi hata kujitosheleza kwa chakula na mahitaji mengine bado lakini inakimbilia kutengeneza gari. Ajabu hii.
Yeah! Unatengeneza gari unaliuza,unanunua chakula na chenji inarudi!kwa hiyo kwa upumbavu wako ulitaka waache kila kitu wapambane na chakula tu? Id.ot
 
Ni ujinga unapooneshwa matatizo yako wapi kisha wewe ukafikiri ni wivu instead of taking the feedback for positive use.... Shame
Lumumba mmevurugwa
 
Kitu hicho wenzetu wako serious huku nchi fulani Sekta nyeti wameshikilia wanasiasa kila jambo wanaleta siasa tu

Ova
 
Lumumba mmevurugwa
Labda Odinga na Uhuru ndio wamekuvurugeni... Tuna rais mmoja tu kwetu....

Watu bana eti ukimkosoa una wivu πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ utafeli kwenye maisha....

Itabidi nikuulize, wivu gani nlokuwa nao kwa KE? mnatengeza Gari? πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ ndio nione wivu?
 
Odinga ameponzwa na ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…