Kiwanda cha sabuni vs kiwanda cha maji

Kiwanda cha sabuni vs kiwanda cha maji

Mzee Grahams uli ahidi kunipa info🤒🤒
Nashindwa kutoa maoni Concrete as Kuna taarifa za msingi zinakosekana kwenye andiko lako.

Ila unapotaka kufanya biashara ambayo tayari ipo (already existing business) unatakiwa kuangalia weakness za washindani wako Kwa kuangalia wapi wamekosea upande wa quality/quantity/market/brandings n.k

Hujasema unataka kufanya at which horizons i.e small scale/medium/large

Kwa kutumia uzoefu naweza kushauri kuhusu biashara ya Maji ambayo haihitaji gharama kubwa za Uendeshaji (O&M) zaidi ya gharama za madawa kwaajili ya kutibu as Maji yanapatikana kiurahisi ambapo unaweza kuyanunua kwenye Mamlaka za Maji iwe DAWASA/MWAUWASA/MORUWASA n.k

Ili ku-penetrate Soko hakikisha unakuwa na packaging nzuri na Maji yawe mazuri. Mikoa ya Mbeya/Iringa/Morogoro/Mwanza/Ruvuma Wana Maji matamu sana

Kama upo serious na biashara moja wapo ya hizo mbili niajiri nikufanyie tathmini ya kina na kuja chaguo sahihi.

Maana factors za kufikia kwenye Chaguo sahihi zipo nyingi ambapo upembuzi wa kina unahitaji.

Kila la heri Bilionea ujaye wa Kitanzania 🙏💪👊
 
2025 mwishoni tuta ongea mkuu🙏💪, Kuhusu billionaire ajaye😄- I mean no malice to nobody
 
Ningekupa ushauri bora kabisa ila tatizo lake unaleta dhihaka mno kwenye uzi wako
 
Back
Top Bottom