Kiwanda cha Silaha cha Rwanda. Wapo mbali sana hawa jamaa

Tanzania Silaha za Nini wakati wapinzani wenyewe kina Lissu wanawekewa FFU inatosha... Mipaka italindwa na UN Tulisha sign miaka mingi.. Silaha tulizonazo na zile tulizoteka Uganda zinaoza tu hatuna wa kupigana nae.. Sleeping Giant
 

Your browser is not able to display this video.
 
Ndugu uko nyuma sana.
Kiwanda cha silaha za kivita kipo Bongo mda mrefu. Zaidi ya miaka 15 sasa.
Kinatengeneza silaha gani. Nakupa mfano, Uganda wana viwanda viwili vya kuunda armoured vehicles. Sisi tuna kiwanda cha kufanya nini au small arms ammunition?

Uganda hawa hapa na bajeti yao ndogo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…