Kiwanda cha Silaha cha Rwanda. Wapo mbali sana hawa jamaa

Kinatengeneza silaha gani. Nakupa mfano, Uganda wana viwanda viwili vya kuunda armoured vehicles. Sisi tuna kiwanda cha kufanya nini au small arms ammunition?

Uganda hawa hapa na bajeti yao ndogo tuView attachment 3340430
Kipo hapahapa Dar es salaam.
Kinazalisha silaha za kisasa.
Inatosha, sina haja kukushawishi maana Mimi silipwi kwa kazi hii
 
SHIRIKA LA MZINGA

Shirika la Mzinga lililopo Mkoani Morogoro lilianzishwa mnamo mwaka 1971, likiwa ni Mradi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania kwa ajili ya kuzalisha mazao kwa matumiziya JWTZ. Ilipofika tarehe 13 Septemba, 1974, mradi huu ulitangazwa rasmi kuwa Shirika la Umma chini ya Sheria ya The Public Corporation Act No. 19 of 1969, na kupewa Jina la Shirika la Mzinga, kwa Waraka wa Serikali Nambari 219 wa Mwaka 1974 na hivyo, kuwa chini ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.

Lengo kuu la kuanzishwa kwa Shirika hili, ni kufanya tafiti mbalimbali za kijeshi, kuzalisha na kuuza zao la msingi, silaha za kiraia, baruti na viwashio kwa wachimbaji madini, mawe na wajenzi.

DIRA

Kuwa kiwanda cha kisasa cha Kijeshi kinachotengeneza vifaa na zana bora kwa ajili ya Ulinzi na Usalama wa Taifa.

Je, dira hii imetufikisha mahali popote tangu shirika kuundwa?
 
View attachment 3340535

Ndiyo, Rwanda imeanza rasmi kutengeneza silaha zake za kijeshi kupitia kampuni ya ndani ya Rwanda Engineering and Manufacturing Corporation (REMCO), ambayo ni shirika la serikali. Hatua hii ni sehemu ya mkakati wa taifa wa kujitegemea katika sekta ya ulinzi na kuimarisha uwezo wa viwanda vya ndani.

View attachment 3340536
Katika Maonesho ya Kimataifa ya Usalama barani Afrika (ISCA) yaliyofanyika Kigali kuanzia Mei 19, 2025, REMCO ilionyesha silaha mbalimbali zilizotengenezwa nchini, zikiwemo magari ya kijeshi, bunduki, risasi, na ndege zisizo na rubani (drones). Rais Paul Kagame alitembelea banda la REMCO katika maonesho hayo, akionyesha uungwaji mkono wa serikali kwa juhudi hizi za ndani .

View attachment 3340537
Zaidi ya hayo, Rwanda inashirikiana na kampuni ya Israel Weapon Industries (IWI) katika kutengeneza silaha hizo, ikionyesha ushirikiano wa kimataifa katika kukuza teknolojia ya kijeshi nchini .
View attachment 3340538

Hatua hii inaashiria mabadiliko makubwa katika sekta ya ulinzi ya Rwanda, ikilenga kupunguza utegemezi wa silaha kutoka nje na kuimarisha usalama wa taifa.

Kwa picha na taarifa zaidi kuhusu silaha hizi mpya, unaweza kutembelea The New Times Rwanda.
View attachment 3340539
Huko ndiko tuendako, nchi zinojitambua ni lazima zijitegemee kwa maeneo mengi, khasa ulinzi na usalama.

Pale unapohitaji msaada zaidi wa kitaalam utaupata kutoka kwa nchi rafiki lakini ni lazima kuwekeza kwa raia wako wa ndani.

Huwezi kununua silaha ambazo zingine ni lazima wauzaji wakupe na wahandisi wao waje uwalipe kukufundisheni kutumia silaha hizo hivyo kulipa gharama zaidi.

Burkina Faso nao wameanza kuunda UAVs kwa ajili ya eneo la Afrika kuzingatia viwango inavyovitaka.

Kwa jambo hili Rwanda, Burkina Faso na Uganda wastahiki pongezi kubwa.
 
Mama! Mama! Mama !
 
Attachments

  • Gq-zsaJXMAAdta5.jpeg
    Gq-zsaJXMAAdta5.jpeg
    90.3 KB · Views: 22
  • IMG-20250516-WA0004.jpg
    IMG-20250516-WA0004.jpg
    105 KB · Views: 16
Rais Paul Kagame akitembelea kituo cha Shirika la Uhandisi na Uzalishaji la Rwanda (REMCO) wakati wa maonyesho katika Kongamano la Kimataifa la Usalama la Afrika (ISCA), lililoanza Jumatatu, Mei 19 mjini Kigali.

Rwanda yaanza kuonyesha silaha zilizotengenezwa na kampuni ya ndani ya REMCO katika hatua ya kujenga sekta ya ulinzi ya nchi hiyo.

View attachment 3340185

Huyu mama Mzanzibari ameturudisha nyuma sana kiasi kwamba tumeiweka nchi kwenye mazingira ya kuwa Koloni la Waarabu,wachina na Wazungu.

Mama amejenga taifa la watu WACHACHE wenye uwezo wa kulala maskini na kuamka matajiri bila kufanya kazi zaidi ya kuwa Machawa na ujanja ujanja na ufisadi . Taifa linalodharau kazi ,uadilifu ,uwajibikaji ,maadili ,ukweli ,juhudi ya kazi ,elimu na maarifa hakiwezi kujenga watu wabunifu.

Leo hii majeshi ya nchi nyingi za Afrika wanaagiza mpaka Uniform zao toka China na of ndia. Yaani nguo za magwanda wanashindwa kushona wenyewe wanashindwa China na India . Nchi kama Tanzania ina majeshi zaidi ya nane halafu Amiri Jeshi mkuu aliyepewa dhamana sio tu ya kusimamia ulinzi wa nchi bali kusumamia Rasilimali za nchi ikiwemo fedha za umma anaruhusu uniform za majeshi Nane zishonewe China . Fedha za umma ziende kwa wachina wanaoshona nguo na viatu badala ya kushonwa hapa hapa Tanzania . Kama una majeshi ambayo hawawezi hata kufanya vitu vidogo kama kushona nguo zao utakuaje na Jeshi lenye uwezo wa kutengeneza drone au Automaic Rifle au robot ?

Duniani kote majeshi ni kiwanda cha kuzalisha wazalendo na watu wabunifu ili kusimamia na kufanya miradi ya serikali kuokoa pesa za umma lakini chini ya Samia Majeshi yamekua ni sehemu ya Wakubwa kutengeneza ujanja ujanja wa kupiga pesa za umma bila kukuza ugunduzi . Yaani majeshi yameingizwa kwenye genge la kula kwa urefu wa kamba kupitia manunuzi .
Rais Samia na CCM anaandaa Majeshi ya kupiga Raia kwa misingi ya kisiasa tuu na ndio maana hata mishahara na pesa wanaolipwa wanaahidiwa kwa kudhibiti wapinzani tu sio kwa kudhibiti wezi wa fedha za umma au kujenga nchi kupitia ubunifu mfano kuokoa pesa za kujenga madaraja na majengo na fanicha za ofisi za umma na pesa zingine zipelekwe kuwapa mikopo wanafunzi wa vyuo vikuu na kuhudumia wagonjwa wa figo ,kisukari na kansa na kuwalipa wastaafu viinua mgongo kila mmoja mil. 120 .
 
Bongo kuna viwanda hv,
Goli la mama, samia legal aid.
Watoto na mama, samia kings, watoto wa mama kizinkazi!
 
Rais Paul Kagame akitembelea kituo cha Shirika la Uhandisi na Uzalishaji la Rwanda (REMCO) wakati wa maonyesho katika Kongamano la Kimataifa la Usalama la Afrika (ISCA), lililoanza Jumatatu, Mei 19 mjini Kigali.

Rwanda yaanza kuonyesha silaha zilizotengenezwa na kampuni ya ndani ya REMCO katika hatua ya kujenga sekta ya ulinzi ya nchi hiyo.

View attachment 3340185
Hivi unajua kuwa Tanzania inabkiwanda cha silaha tena sio kimoja,ila hatutangazi?
 
Huyu mama Mzanzibari ameturudisha nyuma sana kiasi kwamba tumeiweka nchi kwenye mazingira ya kuwa Koloni la Waarabu,wachina na Wazungu.

Mama amejenga taifa la watu WACHACHE wenye uwezo wa kulala maskini na kuamka matajiri bila kufanya kazi zaidi ya kuwa Machawa na ujanja ujanja na ufisadi . Taifa linalodharau kazi ,uadilifu ,uwajibikaji ,maadili ,ukweli ,juhudi ya kazi ,elimu na maarifa hakiwezi kujenga watu wabunifu.

Leo hii majeshi ya nchi nyingi za Afrika wanaagiza mpaka Uniform zao toka China na of ndia. Yaani nguo za magwanda wanashindwa kushona wenyewe wanashindwa China na India . Nchi kama Tanzania ina majeshi zaidi ya nane halafu Amiri Jeshi mkuu aliyepewa dhamana sio tu ya kusimamia ulinzi wa nchi bali kusumamia Rasilimali za nchi ikiwemo fedha za umma anaruhusu uniform za majeshi Nane zishonewe China . Fedha za umma ziende kwa wachina wanaoshona nguo na viatu badala ya kushonwa hapa hapa Tanzania . Kama una majeshi ambayo hawawezi hata kufanya vitu vidogo kama kushona nguo zao utakuaje na Jeshi lenye uwezo wa kutengeneza drone au Automaic Rifle au robot ?

Duniani kote majeshi ni kiwanda cha kuzalisha wazalendo na watu wabunifu ili kusimamia na kufanya miradi ya serikali kuokoa pesa za umma lakini chini ya Samia Majeshi yamekua ni sehemu ya Wakubwa kutengeneza ujanja ujanja wa kupiga pesa za umma bila kukuza ugunduzi . Yaani majeshi yameingizwa kwenye genge la kula kwa urefu wa kamba kupitia manunuzi .
Rais Samia na CCM anaandaa Majeshi ya kupiga Raia kwa misingi ya kisiasa tuu na ndio maana hata mishahara na pesa wanaolipwa wanaahidiwa kwa kudhibiti wapinzani tu sio kwa kudhibiti wezi wa fedha za umma au kujenga nchi kupitia ubunifu mfano kuokoa pesa za kujenga madaraja na majengo na fanicha za ofisi za umma na pesa zingine zipelekwe kuwapa mikopo wanafunzi wa vyuo vikuu na kuhudumia wagonjwa wa figo ,kisukari na kansa na kuwalipa wastaafu viinua mgongo kila mmoja mil. 120 .
Tatizo lako ni chuki bimafsi na uongo,hivi unajua kuwa majeshi ya Tanzania yanatengeneza vitu na bidhaa nyingi sana? Kabla hujatoa lawama tujifunze kufanya utafiti kwanza
 
KRais Paul Kagame akitembelea kituo cha Shirika la Uhandisi na Uzalishaji la Rwanda (REMCO) wakati wa maonyesho katika Kongamano la Kimataifa la Usalama la Afrika (ISCA), lililoanza Jumatatu, Mei 19 mjini Kigali.

Rwanda yaanza kuonyesha silaha zilizotengenezwa na kampuni ya ndani ya REMCO katika hatua ya kujenga sekta ya ulinzi ya nchi hiyo.

View attachment 3340185
Itakuwa assembled
 
Huyu mama Mzanzibari ameturudisha nyuma sana kiasi kwamba tumeiweka nchi kwenye mazingira ya kuwa Koloni la Waarabu,wachina na Wazungu.

Mama amejenga taifa la watu WACHACHE wenye uwezo wa kulala maskini na kuamka matajiri bila kufanya kazi zaidi ya kuwa Machawa na ujanja ujanja na ufisadi . Taifa linalodharau kazi ,uadilifu ,uwajibikaji ,maadili ,ukweli ,juhudi ya kazi ,elimu na maarifa hakiwezi kujenga watu wabunifu.

Leo hii majeshi ya nchi nyingi za Afrika wanaagiza mpaka Uniform zao toka China na of ndia. Yaani nguo za magwanda wanashindwa kushona wenyewe wanashindwa China na India . Nchi kama Tanzania ina majeshi zaidi ya nane halafu Amiri Jeshi mkuu aliyepewa dhamana sio tu ya kusimamia ulinzi wa nchi bali kusumamia Rasilimali za nchi ikiwemo fedha za umma anaruhusu uniform za majeshi Nane zishonewe China . Fedha za umma ziende kwa wachina wanaoshona nguo na viatu badala ya kushonwa hapa hapa Tanzania . Kama una majeshi ambayo hawawezi hata kufanya vitu vidogo kama kushona nguo zao utakuaje na Jeshi lenye uwezo wa kutengeneza drone au Automaic Rifle au robot ?

Duniani kote majeshi ni kiwanda cha kuzalisha wazalendo na watu wabunifu ili kusimamia na kufanya miradi ya serikali kuokoa pesa za umma lakini chini ya Samia Majeshi yamekua ni sehemu ya Wakubwa kutengeneza ujanja ujanja wa kupiga pesa za umma bila kukuza ugunduzi . Yaani majeshi yameingizwa kwenye genge la kula kwa urefu wa kamba kupitia manunuzi .
Rais Samia na CCM anaandaa Majeshi ya kupiga Raia kwa misingi ya kisiasa tuu na ndio maana hata mishahara na pesa wanaolipwa wanaahidiwa kwa kudhibiti wapinzani tu sio kwa kudhibiti wezi wa fedha za umma au kujenga nchi kupitia ubunifu mfano kuokoa pesa za kujenga madaraja na majengo na fanicha za ofisi za umma na pesa zingine zipelekwe kuwapa mikopo wanafunzi wa vyuo vikuu na kuhudumia wagonjwa wa figo ,kisukari na kansa na kuwalipa wastaafu viinua mgongo kila mmoja mil. 120 .
Tanzania haina majeshi nane bali moja tu ambalo ni jeshi la Ulinzi.
 
Back
Top Bottom