Tuombe Mungu siasa zisiingie buko Jw maana mtazamo na malengo ya wanasiasa kuna namba yako mbali sana afya ya ulinzi nchi.
Japokuwa wanakuwa na nia nzuri ila wanajikuta wanadhoofisha afya ya mfumo wa ulinzi wa taifa.
Kuhusu viwanda vya hao RPF na UDF tunaviona big step dhid ya JW kwakuwa kwasababu now w dayz raia morale ya utaifa ni wazi iko nchin sana.
Mfano1. kwa jinsi ilivyo hata JW wangesema wanaviwanda vyenye kutengeneza vifaa hatari ×4 kuliko hivyo vya RPF na UDF bado watz wangevisagia kunguni.
Mfano 2.
Saiv hata RPF wakipost vijana wao walio mafunzon ya uruban huko US china, tutaona kama ni big step over JW, bila kujali JW wako mataifa ×mbali ktk medani hizohizo.
Viongoz wanakaz ya kuwaleta watz kufeel proud na taifa lao, kama wataona ni muhimu lakin.