Kiwanda cha Silaha cha Rwanda. Wapo mbali sana hawa jamaa

Kinatengeneza silaha gani. Nakupa mfano, Uganda wana viwanda viwili vya kuunda armoured vehicles. Sisi tuna kiwanda cha kufanya nini au small arms ammunition?

Uganda hawa hapa na bajeti yao ndogo tuView attachment 3340430
Kwa hii nchi ilivyo, hiko kiwanda kingepewa promo saana. Ukweli ni kwamba tumebaki na sifa za midomoni tu kuwa tuna Jeshi imara linaloogopeka ila kwa sasa Tz tuogope sana kuingia vitani maana tutaumbuka. Labda tuwapate mchomvu tumburuze ila Ug, Kenya, Rwanda, Ethiopia hizi nchi tukitoka salama basi wametuachia kovu moja kubwa saaana.
 
2013-2014 South Africa ilitoa mchango mkubwa kuliko mchango uliotolewa na Tanzania, Afrika nzima inalijua hili ila ni hapa Tanzania pekee huwa mnasema JWTZ ndio ilipigana na M23.

Kwenye ile mission wale South Africa walikuwa na air cover, waliweza kutuma attack helicopters kufanya mashambulizi ya anga kwa waasi ambayo yaliwaumiza sana. Walikuwa wanajitokeza angani kushambulia pale M23 ilipokuwa inapambana ardhini na kuelekea kuzidi nguvu jeshi la washirika.

Tz, SA na Zambia kama sikosei zilipeleka wanajeshi wa kutosha kidogo, sio Tanzania pekee iliyofanya kazi. Pia M23 haikuwa na mafunzo ya kisasa zaidi na haikuwa na silaha kama this time ambapo walikuwa hadi na ATGM na GPS guided mortars. Kwa vyovyote vile JWTZ haingeweza kuwapiga hata ingeenda peke yake, kwa zile silaha ilizoenda nazo Isitoshe M23 wana uozefu mkubwa na landscape yao.

Kuna nchi za SADC hazikwenda maana ziliona mkakati umekaa kipuuzi hautekelezeki, walioenda ndio hao wakanyanyua mikono juu mpakani mwa Rwanda.
Nafikiri walikuwa Malawi sio Zambia. Kle Brigade iliongozwa na Brigedia Mwakibolwa. SA walitoa zana nyingi za anga. Tz tulipeleka askari wengi wa miguu.
 
Rwanda step anazo kwenda kuna siku ataivamia Tanzania siku hizi JWTZ limekuwa nilawasanii tu.
Mkuu wa majeshi ana ndugu Rwanda upande wa baba yake na alikuwa anaenda kusalimia kabla ya teuzi.Tumeshindwa kumsaidia msumbiji kuwathibiti magaidi waliopo nchini mwao. Hawa magaidi wapo karibu na mpaka wa Msumbiji na Tanzania na waliuwa watanzania. Rwanda alienda na kuwasaidia Msumbiji. Tumeshindwa kuwapiga M23 mpaka kapteni wa jeshi anarudi kupitia mpaka wa Rwanda 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 . JWTZ ni historia hii sio jeshi tu hata UDSM sio tena kama zamani. Hatuna cha kujivnia aisee tukiendelea hivi kwa miaka 30 tutakuwa kama Congo.
 
Aliyeongoza mashambulizi ya anga alikua South Afrika ila nadhani unajua HUWEZI kuimaliza vita kwa mashambulizi ya anga tu.
Aliyeongoza infantry ya TPDF jeshi la Angola na majeshi mengine ni Kamanda wa TPDF.
TPDF ndio iliongoza mashambulizi ya ardhini kama ulilisahau hilo.
Sasa sijui vita ipi ngumu kati ya anga na ardhini unapomfuata adui.
Na ndio maana jeshi la kwanza kupongezwa lilikua JWTZ kwa mchango wao wa uvamizi wa ardhini kwa m23.

Awamu hii hawakuenda kama awamu iliyopita,pia hata JWTZ ilienda na silaha chache na silaha walizoambiwa kuwa watatumia ni za kule kule waendako watazikuta,hawakubeba silaha zao za nyumbani kama safari iliyopita.
Kama Tanzania TPDF wangesema na wao watumie big capability kama ya 2013-2014 hao m23 saa hizi wangekua taabani.
Ndio maana barua hata barua yao ya kwanza walipokua wakiomba majadiliano mara tu JWTZ iliposhambulia kwa saba saba guns waliilaumu na kuishutumu Tanzania inatumia silaha nzito,sasa saba saba guns silaha nzito?
Je Tanzania wangeamua kutumia MLRS zingine nzito zaidi walizokua nazo m23 wangekua katika hali gani!?
Kingine jeshi la Congo lenyewe limelemaa sana halisaidiki hii ni sababu Moja wapo inayofanya kusiwe na morali hata kwa wanaosaidia.
Rwanda bado kwa Tanzania na hata m23 hawakuiweza Tanzania bali sera zilizotumika kule dhidi ya huu mzuzu na kulega lega kwa jeshi la Congo kumefanya mataifa saidizi yaonekana dhaifu.
 
Mkuu hakukuwa na mapigano yet watu waka surrender?
Walio surrender ni jeshi la DRC sio majeshi saidizi.
Kama jeshi la nchi linasarenda na kuachia maeneo wewe msaidizi unayetoa support utafanya nini!?
Hivi ulifuatilia vizuri hili sakata kaka!?
Maeneo mengi jeshi la Congo lilikua likijitoa na kuacha maeneo hayana ulinzi,m23 walikua wakiingia kiulaini pasi na nguvu kubwa.
 
Twende mbele turudi nyuma "kagame yuko serious na nchi yake" tungepata kiongozi serious kama huyu jamaa ni poa tu kwa mali za tanzania tungekuwa mbali mnooo.

Shida ya watu wa namna hii huwa hawaamini wengine kabisa, huwa wanafeli katika kujenga system mara kadhaa wakitoka wao madarakani kuna namna nchi inaweza yumba.
Kagame overrated leader.
Kelele za debe tupu.
 
Walio surrender ni jeshi la DRC sio majeshi saidizi.
Kama jeshi la nchi linasarenda na kuachia maeneo wewe msaidizi unayetoa support utafanya nini!?
Hivi ulifuatilia vizuri hili sakata kaka!?
Maeneo mengi jeshi la Congo lilikua likijitoa na kuacha maeneo hayana ulinzi,m23 walikua wakiingia kiulaini pasi na nguvu kubwa.
Unaijua hii "SADC" kiliipeleka nini? Halafu kabla hao 23 kuwasha 🔥 walitoa tangazo watu wakakaza kazi ilivoanza watu wakanyoosha mikono. Sema nini mkuu.
 
Mkuu wa majeshi ana ndugu Rwanda upande wa baba yake na alikuwa anaenda kusalimia kabla ya teuzi.Tumeshindwa kumsaidia msumbiji kuwathibiti magaidi waliopo nchini mwao. Hawa magaidi wapo karibu na mpaka wa Msumbiji na Tanzania na waliuwa watanzania. Rwanda alienda na kuwasaidia Msumbiji. Tumeshindwa kuwapiga M23 mpaka kapteni wa jeshi anarudi kupitia mpaka wa Rwanda 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 . JWTZ ni historia hii sio jeshi tu hata UDSM sio tena kama zamani. Hatuna cha kujivnia aisee tukiendelea hivi kwa miaka 30 tutakuwa kama Congo.
Umeona eee kumbe tuko wengi tunao Iona tz ikienda kuwa kama congo hapo baadae, that's how tunahitaji mabadiliko ya kweli ndio maana tunapigania reform kama haipo no election ⚒️ 💯 Kwa maslahi mapana ya nchi yetu pendwa.
 
Unaijua hii "SADC" kiliipeleka nini? Halafu kabla hao 23 kuwasha 🔥 walitoa tangazo watu wakakaza kazi ilivoanza watu wakanyoosha mikono. Sema nini mkuu.
Doh hujui hata unasema nini mkuu.
SADC walipeleka kikosi cha

Doh hujui hata unachozungumza.
SADC ilipeleka kikosi cha SamiDRC pale Congo.
Na Tanzania ndio ilianza limited fire dhidi ya M23 na m23 walikua wanajibu sio kwamba hawajibu.
Ila maeneo ambayo yalichukuliwa kulikua kuna wanajeshi wa DRC na local armed groups.
Maeneo yote waliyoteka m23 hawakukumbana na askari yeyote wa SamiDRC usitake kutudanganya.
Hao SamiDRC wenyewe walikua hawajiamulii katika hizo operations.
Sasa kama askari wenyewe wa DRC walikua wakisalimu amri je ninyi wageni mtafanyaje!?
Narudia tena katika maeneo yote m23 aloyateka hakukutana na jeshi la SamiDRC,jeshi la SamiDRC waliweka kambi eneo moja tu.
Nenda kafuatilie kwa umakini ndio uje uongee.
Hiyo m23 imeshambuliwa na sabasaba guns ikaanza kupiga kelele,je zingetumika silaha Kali zaidi wangesemaje!?
 
Nafikiri walikuwa Malawi sio Zambia. Kle Brigade iliongozwa na Brigedia Mwakibolwa. SA walitoa zana nyingi za anga. Tz tulipeleka askari wengi wa miguu.
Ndio mkuu, Lt. Gen. Mwakibolwa wakati ule ni Brig. Gen. aliongoza vile vikosi sababu ya Tanzania kupeleka wanajeshi wengi na zana nzito ardhini. Angani akawepo South Africa hao waasi wakabanwa mno. Malawi huwa nawachanganya na ndugu zetu Zambia wote huwa hawana headlines na makuu.

This time majeshi yaliyoenda kupigana na M23 yalienda kisiasa zaidi, hawakuwa na air cover, ground presence ya maana, heavy weapons hamna. Wakati kwa M23 walikuwa wamekuza uwezo zaidi. Kabla mission haijaanza niliandika humu kuwa tutafeli.
 
Doh hujui hata unasema nini mkuu.
SADC walipeleka kikosi cha
Doh hujui hata unachozungumza.
SADC ilipeleka kikosi cha SamiDRC pale Congo.
Na Tanzania ndio ilianza limited fire dhidi ya M23 na m23 walikua wanajibu sio kwamba hawajibu.
Ila maeneo ambayo yalichukuliwa kulikua kuna wanajeshi wa DRC na local armed groups.
Maeneo yote waliyoteka m23 hawakukumbana na askari yeyote wa SamiDRC usitake kutudanganya.
Hao SamiDRC wenyewe walikua hawajiamulii katika hizo operations.
Sasa kama askari wenyewe wa DRC walikua wakisalimu amri je ninyi wageni mtafanyaje!?
Narudia tena katika maeneo yote m23 aloyateka hakukutana na jeshi la SamiDRC,jeshi la SamiDRC waliweka kambi eneo moja tu.
Nenda kafuatilie kwa umakini ndio uje uongee.
Hiyo m23 imeshambuliwa na sabasaba guns ikaanza kupiga kelele,je zingetumika silaha Kali zaidi wangesemaje!?
Sawa mkuu nimekuelewa 🙏 halafu sio maeneo ni eneo moja tuu ambalo walitakiwa kulilinda lisichukuliwe.
 
Ndio mkuu, Lt. Gen. Mwakibolwa wakati ule ni Brig. Gen. aliongoza vile vikosi sababu ya Tanzania kupeleka wanajeshi wengi na zana nzito ardhini. Angani akawepo South Africa hao waasi wakabanwa mno. Malawi huwa nawachanganya na ndugu zetu Zambia wote huwa hawana headlines na makuu.

This time majeshi yaliyoenda kupigana na M23 yalienda kisiasa zaidi, hawakuwa na air cover, ground presence ya maana, heavy weapons hamna. Wakati kwa M23 walikuwa wamekuza uwezo zaidi. Kabla mission haijaanza niliandika humu kuwa tutafeli.
Mkuu heavy weapons hakuna wakati vyombo vya nje wameandika kuwa silaha zilizopelekwa ilikuwa ni zaidi ya kupigana na kunguru? Au unamaanisha? SA peke yake Reuters iliandika ndege yao kubwa iya kijeshi ilifanya five trips to goma Airport
 
Back
Top Bottom