Kiwanda cha Silaha cha Rwanda. Wapo mbali sana hawa jamaa

Kiwanda cha Silaha cha Rwanda. Wapo mbali sana hawa jamaa

Hakukuwa na haja ya kusema kama hutaki kusema. Kiwanda hakipo.

Yaleyale ya kabla hatujaenda DRC makelele yalikuwa kibao sijui tutawakomesha, niliwaambia hamfanyi kitu kwa M23. Some few weeks later nikaona kamanda wa TPDF kanyoosha mikono anapigwa search wakati wanatoroka kupitia Rwanda. Mnapenda uongo uongo na kujimwambafai wakati uhalisia unakataa.

Jeshi la uongo hili imagine Msemaji aliwahi dai sisi ni jeshi la sita duniani kwa uwezo 😂
Kesi ya Congo hakupelekwa TPDF akashughulike nayo mwenyewe,Ile ni kesi ya kimataifa na ni complicated.
Kuna muongozo TPDF anaufuata hajiamulii yeye.
Kama angekua anajiamulia basi yale ya 2013-2014 yangejirudia.
Nadhani unakumbuka mkuu hiyo miaka miwili M23 kiliwakuta nini.
 
Winger Lugumi alikuwa kazini wakati huo au ilikuwa bado??
 
Twende mbele turudi nyuma "kagame yuko serious na nchi yake" tungepata kiongozi serious kama huyu jamaa ni poa tu kwa mali za tanzania tungekuwa mbali mnooo.

Shida ya watu wa namna hii huwa hawaamini wengine kabisa, huwa wanafeli katika kujenga system mara kadhaa wakitoka wao madarakani kuna namna nchi inaweza yumba.
 
Hata Uganda kampuni yao ya silaha ina ubia na kampuni ya UAE ambao sisi tumeingia nao ubia wa kufukuza Wamasai pale Ngorongoro.

Kenya wanataka ubia na South Africa kuunda armoured vehicles. Kwa vitu ambavyo hatujui ni vyema kuingia ubia, na miradi ya silaha iko hivyo unanunua units kadhaa nyingine unataka ziwe assembled kwako au unafanya tech transfer. Inafanyika sana kwa nchi serious.
Exactly hii inanikumbusha kati ya Sweden na Brazil katika project ya Saab Jas 39 Gripen .... Watu wapo serious mzee.
 
Exactly hii inanikumbusha kati ya Sweden na Brazil katika project ya Saab Jas 39 Gripen .... Watu wapo serious mzee.
Mifano ni mingi sana. India walishirikiana na Russia kutengeneza BrahMos cruise missile, wakashirikiana pia India wakapata Sukhoi Su-30MKI wanaunda components nyingi kasoro radar na engines.

South Africa tukiwaendea zile armoured vehicles zao tufanye ubia wanakubali tukiwa serious. Wanauza silaha Middle East na Ulaya wale.

Nchi kama Bulgaria, Serbia, Belarus wana small arms industry nzuri ni kwenda kuchukua order kubwa ya bunduki na kuomba ushirikiano kwenye technical knowhow ya kuunda hand gun, assault riffle, medium machine gun, anti materiel riffle.
Au kwa nchi kama China na Uturuki unachukua ujuzi wa kuunda mortar, heavy machine gun, MRAP vehicle, RPG, etc.

Unabaki kununua silaha kubwakubwa. Sasa kama hata bunduki unanunua unategemea nini.
 
Badala wawekeze kwenye vitu vya maana, wao ni vita tena ya kumalizana wao kwa wao. Akili au matope? Heri wangeanzisha kiwanda cha majembe au kalamu kuliko silaha.

Umefika Rwanda?. Mbona viwanda vya kalamu na majembe vipo vingi Sana.
 
Kesi ya Congo hakupelekwa TPDF akashughulike nayo mwenyewe,Ile ni kesi ya kimataifa na ni complicated.
Kuna muongozo TPDF anaufuata hajiamulii yeye.
Kama angekua anajiamulia basi yale ya 2013-2014 yangejirudia.
Nadhani unakumbuka mkuu hiyo miaka miwili M23 kiliwakuta nini.

Acha upotoshaji. Wakati TPDF anaingia Congo alifanya press ya kwanza akidai wanaenda kumaliza M23 na wakawa wanafanya parade wakidai kunguru apigwe, mwishowe wakapigws wao na kuwekwa Chini ya ulinzi Goma mpaka walipoomba poo. Sasa hivi hakuna kelele mmepigwa mkachakaa. Waulize wenzenu Africa Kusini.
 
Wewe ndio mpotoshaji na muongo mkubwa usiyekua na haya.
Katika wanajeshi walioenda Askari wa Afrika kusini ndio walikufa wengi tena kwa vifo vya mizinga na maroketi toka m23.
Hakuna mapigano ya cross fire yaliyopiganwa baina ya TPDF na M23.
ACHA UONGO MPUUZI WEWE,KAMA HAUTIZAMI HABARI NI WEWE.
TPDF ilifanya mashambulizi kwa multi launch rocket system tu tena zisizozidi mara tatu.
Baada ya hapo hakuna shambulizi lolote alilofanya na askari walikaa kambini aldays.
Askari waliokua wakikamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi na M23 walikua local armed groups na askari wa jeshi la DR Congo.
Usinichukulie mie MPUUZI mwenzako.
Nina hadi ndugu wapo huko na soon wanatarajia kurudi.
Kwanza unajua TPDF wameenda kule kwa miamvuli mingapi!??
Au unaropoka tu!?
 
Mkuu hakukuwa na mapigano yet watu waka surrender?
 
Kesi ya Congo hakupelekwa TPDF akashughulike nayo mwenyewe,Ile ni kesi ya kimataifa na ni complicated.
Kuna muongozo TPDF anaufuata hajiamulii yeye.
Kama angekua anajiamulia basi yale ya 2013-2014 yangejirudia.
Nadhani unakumbuka mkuu hiyo miaka miwili M23 kiliwakuta nini.
2013-2014 South Africa ilitoa mchango mkubwa kuliko mchango uliotolewa na Tanzania, Afrika nzima inalijua hili ila ni hapa Tanzania pekee huwa mnasema JWTZ ndio ilipigana na M23.

Kwenye ile mission wale South Africa walikuwa na air cover, waliweza kutuma attack helicopters kufanya mashambulizi ya anga kwa waasi ambayo yaliwaumiza sana. Walikuwa wanajitokeza angani kushambulia pale M23 ilipokuwa inapambana ardhini na kuelekea kuzidi nguvu jeshi la washirika.

Tz, SA na Zambia kama sikosei zilipeleka wanajeshi wa kutosha kidogo, sio Tanzania pekee iliyofanya kazi. Pia M23 haikuwa na mafunzo ya kisasa zaidi na haikuwa na silaha kama this time ambapo walikuwa hadi na ATGM na GPS guided mortars. Kwa vyovyote vile JWTZ haingeweza kuwapiga hata ingeenda peke yake, kwa zile silaha ilizoenda nazo Isitoshe M23 wana uozefu mkubwa na landscape yao.

Kuna nchi za SADC hazikwenda maana ziliona mkakati umekaa kipuuzi hautekelezeki, walioenda ndio hao wakanyanyua mikono juu mpakani mwa Rwanda.
 
Back
Top Bottom