Classism.Umelenga nini kaka?
Fafanua zaidi.Classism.
Ndege ile ilikuwa ni airlifter, ukisafiri kwa bus kwenda kijijini kulima kwa jembe la mkono unakuwa umeenda na zana nzito za kilimo?Mkuu heavy weapons hakuna wakati vyombo vya nje wameandika kuwa silaha zilizopelekwa ilikuwa ni zaidi ya kupigana na kunguru? Au unamaanisha? SA peke yake Reuters iliandika ndege yao kubwa iya kijeshi ilifanya five trips to goma Airport
Nimekupata mkuu na vipi habari ya kwamba SA alipeleka silaha ambazo zimepigwa marufuku duniani? Not kama zile za Iran naomba nieleweke na ndio maana kawatelekeza binadamu anasomba weapons!Ndege ile ilikuwa ni airlifter, ukisafiri kwa bus kwenda kijijini kulima kwa jembe la mkono unakuwa umeenda na zana nzito za kilimo?
Airlifter haitumiki kupigana bali kuleta supplies. Ile inabeba hata misaada mbona chanjo za COVID-19 Marekani ilizileta bongo kwa airlifters.
Na hiyo ndege ilifanya 5 trips pale wanajeshi wa SA walipouliwa na anti tank missile iliyorushwa na M23. Kwenye reinforcement na kwenye harakati za kuondoka. This time SA hawakuja na attack helicopter wala mobile howitzers.
Hakuna jeshi lilienda na heavy weapons so kuanzia kabla mission haijaanza niliwaona wanacheza tu kupoteza muda, bahati mbaya hadi aibu wakapata.
Kwenye hicho cheo hakuna ujinga kama huo.Endelea kujifurahisha.Mkuu wa majeshi ana ndugu Rwanda upande wa baba yake na alikuwa anaenda kusalimia kabla ya teuzi.Tumeshindwa kumsaidia msumbiji kuwathibiti magaidi waliopo nchini mwao. Hawa magaidi wapo karibu na mpaka wa Msumbiji na Tanzania na waliuwa watanzania. Rwanda alienda na kuwasaidia Msumbiji. Tumeshindwa kuwapiga M23 mpaka kapteni wa jeshi anarudi kupitia mpaka wa Rwanda 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 . JWTZ ni historia hii sio jeshi tu hata UDSM sio tena kama zamani. Hatuna cha kujivnia aisee tukiendelea hivi kwa miaka 30 tutakuwa kama Congo.
Mimi sijifurahishi naongea facts ndugu yangu na ukweli ambao wengi wetu tunaogopa kuongea ana kuusema. Narudia tena Nkunda (Mkuu wa majeshi) ana ndugu Rwanda upande wa baba yake ana alikuwa naenda kusalimia kabla ya teuzi.Kwenye hicho cheo hakuna ujinga kama huo.Endelea kujifurahisha.
Mkuu wetu hata CV yake ipo ipo tu.kuna member aliita humu daaa !! Kuna shida mahali kama nchi tupo kwenye mkwamo.Mimi sijifurahishi naongea facts ndugu yangu na ukweli ambao wengi wetu tunaogopa kuongea ana kuusema. Narudia tena Nkunda ana ndugu Rwanda upande wa baba yake ana alikuwa naenda kusalimia kabla ya teuzi.
Yaani hii nchi hatupo serious jamaa hajaficha hata jina la ukoo na anapewa ukuu wa jeshi aisee tupo nyuma sana.Mkuu wetu hata CV yake ipo ipo tu.kuna member aliita humu daaa !! Kuna shida mahali kama nchi tupo kwenye mkwamo.
Pk ni mjanja sana na ana Sukuma kete kwa umakini mkubwa.
Kuna watu sijui mnaakili za namna gani, kwanini mnabeza na kudharau kila kitu cha kwenu? Upo salama kwasababu ya hao unaowabeza. Unafikiri hao unaowasifia na kuwashangilia watakutakia mema wewe linapokuja suala la Utaifa??Hata sisi hatupo nyuma, tumeweza kuunda manati kwa ajili ya kuwindia ndege na wanyama wadodowado, si haba![]()
Nenda tabora kiliachawa na mjerumani na tumekilithi usiniulize kinatengenezani nenda tena ngerengere usiniulize kinatengeneza nini ww unadhani miaka 60 na mchina mchezo unaweza kuliza tu pale utapata majibuMajenerali
Matabaka.Fafanua zaidi.
Duh.... mpaka nimejisikia uchungu sana, kipi kifanyike ndugu mtaalamu?Mkuu wa majeshi ana ndugu Rwanda upande wa baba yake na alikuwa anaenda kusalimia kabla ya teuzi.Tumeshindwa kumsaidia msumbiji kuwathibiti magaidi waliopo nchini mwao. Hawa magaidi wapo karibu na mpaka wa Msumbiji na Tanzania na waliuwa watanzania. Rwanda alienda na kuwasaidia Msumbiji. Tumeshindwa kuwapiga M23 mpaka kapteni wa jeshi anarudi kupitia mpaka wa Rwanda 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 . JWTZ ni historia hii sio jeshi tu hata UDSM sio tena kama zamani. Hatuna cha kujivnia aisee tukiendelea hivi kwa miaka 30 tutakuwa kama Congo.
Matabaka.
Kuna watu wa kula nchi.
Na kuna watu wa kuliwa.
Wakati watu wengine uzalendo ni kitoa uhai wao. Wengine uzalendo wao ni kula nchi na kubeba bemdera tu ya nchi
Aibu aibu kubwa yaani Nyerere anageuka huko kaburini kwake. Jeshi alilooliiimarisha katika vita vya kagera leo hii lina-aibishwa na nchi ndogo kuliko mkoa wa Tanzania.TBC hawakutuambia wala kutuonesha,kuna shida gani?
Yani Tanzania sijui Tabia hii itaishia liniMzinga wa Mama😂
Dah, sikuona hiyo post mkuu.Ndio mkuu, Lt. Gen. Mwakibolwa wakati ule ni Brig. Gen. aliongoza vile vikosi sababu ya Tanzania kupeleka wanajeshi wengi na zana nzito ardhini. Angani akawepo South Africa hao waasi wakabanwa mno. Malawi huwa nawachanganya na ndugu zetu Zambia wote huwa hawana headlines na makuu.
This time majeshi yaliyoenda kupigana na M23 yalienda kisiasa zaidi, hawakuwa na air cover, ground presence ya maana, heavy weapons hamna. Wakati kwa M23 walikuwa wamekuza uwezo zaidi. Kabla mission haijaanza niliandika humu kuwa tutafeli.
Waongo wote wanazungumza Kama wewe. Labda kinabangua korosho na kokoto zaidi ya hapo ni uwongo mkubwa.Nenda tabora kiliachawa na mjerumani na tumekilithi usiniulize kinatengenezani nenda tena ngerengere usiniulize kinatengeneza nini ww unadhani miaka 60 na mchina mchezo unaweza kuliza tu pale utapata majibu