Ok Thomas Lyimo itakuwa ndio mmiliki wa hotel pale kwenye mataa ya Akiba kwenye shule ya msingi Mtendeni opp na brach ya Azam.Kilishakufa zamani
Sijui kama Thomas lyimo kama yupo bado
Tulikunywa maziwa yake sana enzi zile tuko shule ya msingi.
Nimesoma karibu na kiwanda
"Maziwaaa halisiii ya tommy dairy..enhee!! Yana sukariii,..enhee!! yana vitamini...yananenepesha..mshikirika utakua kua.[emoji444][emoji445]
Tanzania yetuJamaa nadhani amefirisika, lakini ingekuwa nchi za wenzetu au rangi ya kina Bakhressa jamaa sasa hivi angekuwa Billionaire.
Nakumbuka alivyosambaza vibanda vya maziwa ndivyo pia Bakhresa alianzaga na vibanda ya kuuza ice cream (koni)
Yupo hai anakula kodi za majumba yake Kariakoo gerezaniKilishakufa zamani