mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Ahaa kumbe Ukraine kwenye hii vita yeye amezuiwa kuivamia urusi..... Mrusi atapotezaje mji kwani kavamiwa? Common sense is not common - proved!
Nimesoma humu naona Ukraine ana hayo ma Javelin hatari sana kana kwamba mrusi ni takataka uwanja wa vita