Pata ushauri kutoka kwa mkulu, atakuja kukifungia mwenyewe.Binafsi ni muumini wa kilimo na Teknolojia. Najaribu kuwaza kiwanda gani naweza kununua au kutengeneza kwa gharama ya millioni nne za kitanzania angalau kije kufunguliwa na kiongozi wangu wa mtaa.
Kiwanda chochote cha kuongeza thamani bidhaa za shamba au asili.
Naamini hakuna ambacho kimewahi shindikana humu.
Msaada please.
Nunua mashinde ya dizeli ya kusaga na kukoboa mahindi uwasaidie huko vijijini ambako umeme hakunaFungua kiwanda cha kuranda mbao Sio kiongozi wa mtaa hata Magufuri mwenyewe anaweza kuja
Uko mkoa gani?
Unaweza kuanzisha kiwanda cha mafuta ya alizeti, karanga ufuta nk.
Ukipata access ya malighafi inawezekana tu. Faida zake ni kuwa, makapi ya alizeti, Karanga na ufuta ni chakula kizuri sana kwa mifugo kama kuku, ng'ombe nkNimeipenda hii.hivi kwa Dsm unaweza kufanya hii biz ikalipa?
Nimekuwa interested na peanut butter ila changamoto naona iko kwenye bidhaa kuweza kupenyeza sokoni pamoja na vibali kama vya TFDA na TBS. Nahitaji mwanga zaidi.Kwa kiwango cha pesa ulicho nacho nakushauri ufanye kati ya biashara zifuatazo:
1. Nunua mashine za kutengeneza peanut butter. Mashine hizo ni peanut grinder, peanut roster na meza ya kufanya sorting. Hiyo hela itatosha na utabakiwa na kiasi fulani cha kunjnua raw materials (karanga) za kutosha za kuanzia.
2. Biashara ingine nunua mashine ya kusaga na kukoboa unga wa mahindi na uwe unapaki. Mashine hizo fanya zitumie motor moja ku run mashine zote mbili ili kuokoa gharama. Hapa sidhani kama utakuwa na hela ya materials ya kuanzia.
Pia kwenye case zote mbili nime assume utakuwa na shed ya kuweka hizo mashine.
Kila la heri
Kwa wadogo zetu mnaokua na watu wazima ambao bado akili zinakua tungependa kuwaarifu kuwa sisi tunajua kuandika utani na pumba zaidi yenu lakini tufahamu tuandike wapi na wakati gani, kuna majukwaa mengi ya utani lakini when it comes to be business kuweni na adabu tafadhali
Hakuna ugumu wowote. Kwa kuanzia tbs utaiomba kupitia sido ni mchakato rahisi sana na kulipa fee kidogo sana. Tfda hawana complication unafuata tu masharti yao na kulipa gharama kidogo.Nimekuwa interested na peanut butter ila changamoto naona iko kwenye bidhaa kuweza kupenyeza sokoni pamoja na vibali kama vya TFDA na TBS. Nahitaji mwanga zaidi.
umenifungua macho mkuu sikujua itabidi niende sido kujua zaidiHakuna ugumu wowote. Kwa kuanzia tbs utaiomba kupitia sido ni mchakato rahisi sana na kulipa fee kidogo sana. Tfda hawana complication unafuata tu masharti yao na kulipa gharama kidogo.
Wengi wanaogopa bila kujaribu
umewahi aidia yangu ndo nilikuwa nimpe.Kiwanda cha maandazi
Kwa wadogo zetu mnaokua na watu wazima ambao bado akili zinakua tungependa kuwaarifu kuwa sisi tunajua kuandika utani na pumba zaidi yenu lakini tufahamu tuandike wapi na wakati gani, kuna majukwaa mengi ya utani lakini when it comes to be business kuweni na adabu tafadhali