Anzisha kiwanda cha kutengeneza unga wa nazi.unakausha zile nazi halafu unazisaga.halafu unazitia kwenye paketi.hakikisha paketi haiingizi hewa ndani ili huo unga usiharibike.hapo utatafuta kampuni ikutengenezee hizo paketi.halafu uzipige nembo yako. Kuna watu wengi hawana mda wa kukuna nazi hivo utapata wateja wengi tuu hata nje ya tz utauza.na machine unayohitaji kwa kuanzia ni moja tu ya kusaga.
Unaweza kusaga kwa kutumia food grinder au waambie sido watakupa machine ndogo hivi itakufaa au nunua machine yoyote ya kusaga ambayo ni ndogo.si lazima usage unga uwe laini sana. Tui utapata kwa kuongeza maji moto kwenye huo unga halaf unakamua.Unaweza kuzisaga kwa mashine gani mkuu,
Pili, ukikausha ule unga tui litapatikana kweli ?
Unaweza kusaga kwa kutumia food grinder au waambie sido watakupa machine ndogo hivi itakufaa au nunua machine yoyote ya kusaga ambayo ni ndogo.si lazima usage unga uwe laini sana. Tui utapata kwa kuongeza maji moto kwenye huo unga halaf unakamua.
Hii imetulia, ishi ni izo malighafi kuhakikisha zinapatikana
Asante sana. Umenipa mwanga . Nitafuatilia na nikipiga hatua nitakujulisha.Hakuna ugumu wowote. Kwa kuanzia tbs utaiomba kupitia sido ni mchakato rahisi sana na kulipa fee kidogo sana. Tfda hawana complication unafuata tu masharti yao na kulipa gharama kidogo.
Wengi wanaogopa bila kujaribu
Mkuu tutafutane mwenyew nna kiwango Kama chako npo dar magomeni labda tunaeza Fanya kitu Kama tuna lengo mojaBinafsi ni muumini wa kilimo na Teknolojia. Najaribu kuwaza kiwanda gani naweza kununua au kutengeneza kwa gharama ya millioni nne za kitanzania angalau kije kufunguliwa na kiongozi wangu wa mtaa.
Kiwanda chochote cha kuongeza thamani bidhaa za shamba au asili.
Naamini hakuna ambacho kimewahi shindikana humu.
Msaada please.
hiyo mashine ina uwezo wa kukamua lita ngapi kwa siku?Nauza mashine 3 ya kiwanda cha alizeti.
1. Mashine ya kupepeta alizeti.
2. Mashine ya kukamua alizeti.
3. Mashine ya kuchuja mafuta ya alizeti.
Na vifungashio pamoja na labels. Brand niliyonayo ina TFDA.
Vyote kwa 9.5M
View attachment 631653 View attachment 631654
nunua cherehani nne itapendeza zaidiBinafsi ni muumini wa kilimo na Teknolojia. Najaribu kuwaza kiwanda gani naweza kununua au kutengeneza kwa gharama ya millioni nne za kitanzania angalau kije kufunguliwa na kiongozi wangu wa mtaa.
Kiwanda chochote cha kuongeza thamani bidhaa za shamba au asili.
Naamini hakuna ambacho kimewahi shindikana humu.
Msaada please.
mkuu hii, sidhani kama kwa budget hiyo inatosha?Install Milling machines.
Asante mkuu.Kwanza angalia sehemu iliyopo husije fungua kiwanda cha sukari, mtibwa hapo ndo utafuata mahitaji watu nakufuata fursa
Hicho kitakuwa Kiwanda au machinjio?!Tengeneza machinjio yako ndogo ya kisasa ya kuweza kuchinja ng'ombe watano tu kwa siku baada ya hapo utaendelea kupanua kiwanda chako
Itafaa sasa kwa watoto wa daslamTengeneza juis kwa kusindika mkongoraa,na changanya na vumbi la Kongo,andaa good packaging kama juice za Apolina then ingiza mjini,walah kesho TBC watakuomba interview.
Mkuu, ningependa kufahamu zaidi maana this seems to be very promising. Maswali yangu:Nauza mashine 3 ya kiwanda cha alizeti.
1. Mashine ya kupepeta alizeti.
2. Mashine ya kukamua alizeti.
3. Mashine ya kuchuja mafuta ya alizeti.
Na vifungashio pamoja na labels. Brand niliyonayo ina TFDA.
Vyote kwa 9.5M
View attachment 631653 View attachment 631654
Ukichinja una process na kupack, una lingine?Hicho kitakuwa Kiwanda au machinjio?!
Kiwanda:
Production
Processing
Packaging
Bottling
Atafanya kipi kati ya hivyo?
Ni wazo zuri, jaribu kuwekeza kwenye Mini grids I mean off-grids electricity hasa katk maeneo ambayo mpango wa usambazaji wa umeme vjjn hayajafikiwa, unaweza ukara hela.Binafsi ni muumini wa kilimo na Teknolojia. Najaribu kuwaza kiwanda gani naweza kununua au kutengeneza kwa gharama ya millioni nne za kitanzania angalau kije kufunguliwa na kiongozi wangu wa mtaa.
Kiwanda chochote cha kuongeza thamani bidhaa za shamba au asili.
Naamini hakuna ambacho kimewahi shindikana humu.
Msaada please.