Unaweza kusaga kwa kutumia food grinder au waambie sido watakupa machine ndogo hivi itakufaa au nunua machine yoyote ya kusaga ambayo ni ndogo.si lazima usage unga uwe laini sana. Tui utapata kwa kuongeza maji moto kwenye huo unga halaf unakamua.
Kwa kiwango cha pesa ulicho nacho nakushauri ufanye kati ya biashara zifuatazo:
1. Nunua mashine za kutengeneza peanut butter. Mashine hizo ni peanut grinder, peanut roster na meza ya kufanya sorting. Hiyo hela itatosha na utabakiwa na kiasi fulani cha kunjnua raw materials (karanga) za kutosha za kuanzia.
2. Biashara ingine nunua mashine ya kusaga na kukoboa unga wa mahindi na uwe unapaki. Mashine hizo fanya zitumie motor moja ku run mashine zote mbili ili kuokoa gharama. Hapa sidhani kama utakuwa na hela ya materials ya kuanzia.
Pia kwenye case zote mbili nime assume utakuwa na shed ya kuweka hizo mashine.
Kila la heri
Umenena! Wengine tunapatia mawazo humu na kuya implement kabisa.Kwa wadogo zetu mnaokua na watu wazima ambao bado akili zinakua tungependa kuwaarifu kuwa sisi tunajua kuandika utani na pumba zaidi yenu lakini tufahamu tuandike wapi na wakati gani, kuna majukwaa mengi ya utani lakini when it comes to be business kuweni na adabu tafadhali
Hii ndio nini mkuu?Ni wazo zuri, jaribu kuwekeza kwenye Mini grids I mean off-grids electricity hasa katk maeneo ambayo mpango wa usambazaji wa umeme vjjn hayajafikiwa, unaweza ukara hela.
Aisee good idea mana still zinatoka chinaKiwanda cha Toothpicks itapendeza zaidi
haliwezi patikana,Unaweza kuzisaga kwa mashine gani mkuu,
Pili, ukikausha ule unga tui litapatikana kweli ?
Nilijiuliza ivo kama inawezekana kweli baada ya kukausha,haliwezi patikana,
jamaa anafikiri ile nazi ya unga inapatikana kwa kusaga nyama ya nazi,wakati kinachokaushwa ni tui,baada ya kuchuja machicha
Hio unayoisema wew siijui.mimi niliyonunua na kuitumia haiko laini.unga wake uko katika chembechembe.na nilitia maji moto.kwa hio nipe hio brand uliyowahi kutumia na tuelimishe uliitumiaje.haliwezi patikana,
jamaa anafikiri ile nazi ya unga inapatikana kwa kusaga nyama ya nazi,wakati kinachokaushwa ni tui,baada ya kuchuja machicha
Anzisha kiwanda cha kutengeneza unga wa nazi.unakausha zile nazi halafu unazisaga.halafu unazitia kwenye paketi.hakikisha paketi haiingizi hewa ndani ili huo unga usiharibike.hapo utatafuta kampuni ikutengenezee hizo paketi.halafu uzipige nembo yako. Kuna watu wengi hawana mda wa kukuna nazi hivo utapata wateja wengi tuu hata nje ya tz utauza.na machine unayohitaji kwa kuanzia ni moja tu ya kusaga.
Hili wazo nitalifanyia kazi haki
Kinachoondoka sio tui bali majimaji yalio kwenye tui.tui lina vitu vingi ndani yake.unapokausha unaondoa majimaj tuuHupati tui mkuu
Ukikausha unga wa nazi tui huondoka kwa njia ya evaporation na kinacho baki ni mafuta tuu!!!