Kiwanda gani naweza fungua/anzisha kwa gharama ya millioni nne?

Hakuna ugumu wowote. Kwa kuanzia tbs utaiomba kupitia sido ni mchakato rahisi sana na kulipa fee kidogo sana. Tfda hawana complication unafuata tu masharti yao na kulipa gharama kidogo.

Wengi wanaogopa bila kujaribu
barikiwa mkuu
 
mkuu vipi, mafuta ya nazi natural kwa ajili ya watoto wadogo, naona wengi wanashauriwa kutumia mafuta haya.
una uelewa wowote ktk hili.
 
kweli, mil 4 hapo hata location ya kuweka kununua/kukodi haipo.
nadhani wazo ni sahihi lkn liko nje ya estimation ya budget
Kweli mkuu watu wanafikiria labda hicho kiwanda utakiweka kwenye chumba ulicho panga
 
Ni vizuri ukasaga na kupaki mwenyewe. Na hata utakavyokuwa ukifanya hivyo haikuzuii kutoa huduma kwa wananchi endapo watahitaji. Hiyo utakuwa ni added advantage kwako.
 
hadi sasa...
1:Kutengeneza Mafuta ya nazi ya kujipaka...
2:nazi ya kusaga (hii haijawekwa vzr inaonekana practical na theory zake zinakinzana kwa mujibu wa maelezo ya wadau).
3😛eanut butter production
4:toothpick (hakuna mchanganuo au ufafanuzi)
5:Mashine za kusaga nafaka ndogondogo (portable machines).
6:Kuprocess maziwa ya mbuzi ...
...
naamini wadau tunaweza kuendelea kuchakata mawazo zaidi...
maana hadi sasa kiwanda chini ya 4M kinawezekana...
Tafiti za masoko ndio changamoto....

changamoto hii nimekutana nayo huko duniani.
1:Nyanya za kupack zinanunuliwa sana lakini baada ya kuzikagua nimegundua ni made in uarabuni.
2:Nazi ya maji inanunuliwa kuliko ya unga.

naendelea kunyenyekea kwa points zenu wakuu...
Mwisho wa siku niibuke na home Industry mwenyekiti wa mtaa apate fahari ya kujivunia maendeleo mtaani kwake....
 
Kiwanda cha toothpick kiukwelhaitaweza kwa baget hyo kiongoz,nilimsikia mwijage pale bungen alisema watanzania wanashindwa kuanzisha hata kiwanda cha toothpick wakat mtaji wake kila kitu ni usd 28000,so ukiibadili kwa hela za madafu unapata karib milion 60,na mtu ambae tanzania alikua anataka kufungua kiwanda hiki ni Muheshimiwa Lema mbunge wa Arusha,sijajua zaid mchakato wake uliishia wap,bt kwa kiwanda cha toothpik usikiwekee ktk hesab hiz.
 



mkuu hii ailibaba inauzwa $800,

hapa
Complete Production Line Bamboo Toothpick Making Machine Price - Buy Machine To Make Toothpicks,Automatic Bamboo Toothpick Making Machine,Bamboo Toothpick Making Machine Product on Alibaba.com
hii inatengeneza toothpicks kutoka kwenye miazi.
price $500 -5500

mkuu inaonekana waziri yuko sahihi, ni suala la kutafuta taarifa tu ndio shida.

Natamani atokee mtalaam wa manunuzi ya hivi vitu aje atolee ufafanuzi kama hizo price ni halisi.
 
hiyo mpake ifuke hapa 60 m imekutoka
 
Sio yeye tu, hata mimi nilitaka na bado nataka sana tu. I hope my dream will one day come true. Nilishaandaa maandiko toka 2014, tatizo noti.
 
Word
 
Nitaanza hata kwa kuanza kununua mashine moja moja mpk nikamilishe complete set, ili tu ndoto itimie. Dream MUST come true. Mungu anisaidie..!!!
 

Toa mwanga zaidi
 

Ongeza nyama kwenye hili badiko lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…