Kiwanda kikubwa cha Furniture East Africa kujengwa Tanzania

Kiwanda kikubwa cha Furniture East Africa kujengwa Tanzania

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Kampuni ya Danude furniture imeanza ujenzi wakiwanda cha furnitue kikubwa Africa Masharika kitakacho kuwa na uwezo wakusafirisha 80% ya furniture nje ya nchi na 20% for domestic. Kwa mwezi watasafirisha zaidi ya container 500 kwenye showroom zao dunianï kutoka Tanzania
 
Some of Danube furnitures which will be manufactured in Tanzania for the all world market
 
kuna wabongo pia wanaoikimbia hii thread
Sisi tunataka maisha mazuri. Tukiwa na Funitures nzuri hayo ndiyo maendeleo. Tupo na kila kitu ngoja dunia ijue. Waanze kutumia made in Tanzania.
 
Wa
mmesahau misingi ya uongzi ya TANU?
TANU na kiwanda chetu kipya wapi na wapi? Hebu tuondoleeni utoto wenu huku. Sisi tunajadili mambo ya maana. Hizo issue zenu za kipuuzi ni ujinga.
 
Issue zote zinazogusa interest zenu ni za ujinga
Acha upuizi. Sawa!? Jadili hoja acha kujadili mihemko isiyo na proof zozote. Hapa tunaongelea facts kuhusu kujengwa kiwanda cha Funiture. Wewe unaleta porojo za kipumbavu. Nyie ndio mnaoturudisha nyuma kwa maneno ya kipuuzi na upumbavu. Unaogozwa na mihemko huna hata facts zozote. Sisi tunakupatia vitu kwa references. Wewe unaleta siasa za maji taka za kuwachafua watu. Huo ni ushamba you need to growup. Mambo ya kubuni buni kwa chuki binafsi yameshapitwa na wakati.
sitaki u quote comment yangu. Isome tu uelewe siyo kuleta ushamba hapa eboo.
 

sina MB za kutosha kuweza kucheza hiyo clip. Ni vyema ukanisaidia kujua kama hutojali, nimesikia kimeanza kujengwa, je kitamalizika lini, kitakuwa na uwezo wa kuajiri watu wangapi? Ukinisadia kwa hili utakuwa umenitendea haki boss.
 
Back
Top Bottom