Kiwanda kikubwa cha Furniture East Africa kujengwa Tanzania

Kiwanda kikubwa cha Furniture East Africa kujengwa Tanzania

Mtumeee Molocaho Amorette ya Jacquiline Mengi itaweza kushindana kweli?
 
na wajiandae pia kupanda miti kwa wingi ,maana sioni misitu itakayokatwa ili kukidhi mahitaji ya mbao kwa ajili ya kiwanda hiki,
 
Wale ambao walikuwa declared kama majipu katika awamu hii kuanzia kampuni za ujenzi, usafirishaji nk na kuahidiwa "kulala nao mbele" naona kila uchao wanaendelea kushine na kulamba tenda za umma!
Ngoja tusubiri labda mapofesa na phds walojaa serikalini watatuelezea maana yake labda.
 
Back
Top Bottom