GSM + Bashite
Kwa furniture sidhani uzalishaji wa ndani na kutegemea soko la nje utakuwa na tija kwa mzalishaji.
Danube ni duka la vitu rahisi....suppliers wake wana supply vitu kw bei ya chini sababu wateja walengwa ni kipato cha kati.
Inawezekana kidogo kama hiki kiwanda kikajengwa ndani ya free zone areas ambako ushuru wa raw material ni zero.
Lakini upatikanaji wa mbao, na vifaa vingine tu gharama ni gali, umeme ghali, logistic kibao zinaongeza gharama...jee kweli wataweza kushindana na bidhaa za china zina zouzwa na danube ?
Inawezekana kama kutakua na previlege maalum kwa GSM ..umeme bure, ma ushuzu zero mpka wa export.
Ni pressure tu hizi za viwanda