Kiwanda kikubwa cha Furniture East Africa kujengwa Tanzania

Acha upuizi. Sawa!? Jadili hoja acha kujadili mihemko isiyo na proof zozote. Hapa tunaongelea facts kuhusu kujengwa kiwanda cha Funiture. Wewe unaleta porojo za kipumbavu. Nyie ndio mnaoturudisha nyuma kwa maneno ya kipuuzi na upumbavu. Unaogozwa na mihemko huna hata facts zozote. Sisi tunakupatia vitu kwa references. Wewe unaleta siasa za maji taka za kuwachafua watu. Huo ni ushamba you need to growup. Mambo ya kubuni buni kwa chuki binafsi yameshapitwa na wakati.
sitaki u quote comment yangu. Isome tu uelewe siyo kuleta ushamba hapa eboo.
Hahahaaaa
Umekaweza ako kadada poa
Kanadhani kila uzi ni wa kurukia tuu na bifu za ki - Chadema na Ccm.
 
Kampuni ya Danude furniture imeanza ujenzi wakiwanda cha furnitue kikubwa Africa Masharika kitakacho kuwa na uwezo wakusafirisha 80% ya furniture nje ya nchi na 20% for domestic. Kwa mwezi watasafirisha zaidi ya container 500 kwenye showroom zao dunianï kutoka Tanzania

Congratulations Tanzania for hosting Danube Home (furniture division franchise) of the Danube Group. Regional offices already in Nairobi,Kenya Libya and Nigeria. This affirms the long held corporate open secret that before venturing deep into Africa,look out for Kenya and gain a firm footing before spreading out! 😀😀😀

DANUBE EXTENDS ITS PRESENCE IN THE AFRICAN REGION
POSTED BY ADMIN ON DECEMBER 25, 2012
africa.jpg

Keeping pace with Dubai based business house, Danube Group has spread its wings to the African region of Kenya and Libya with the opening of its new showrooms. Conveniently located in the heart of the city, the showroom in Kenya is situated at Nairobi spreading across 20,000 square feet. Similarly,
the franchise outlet of Danube in Libya is located in Benghazi and is spread across 35,000 square feet. Both the showrooms showcase an extensive collection of products including sanitary ware, ceramic tiles, parquet flooring, MDF, chandeliers, garden furniture, timber, steel, hardware etc. Danube also
foresees expansion in other areas of Africa such as Ethiopia and Tunisia.

Source: Danube extends its presence in the African Region - Danube Group

Dubai company enters Libya and Kenya
 
Tunaongelea kiwanda. Tanzania walishakuwepo zamani hawa watu kwa jina la home shopping center. Hapo Kenya wana show room sio kiwanda
 
Nani amesema Kenya wanacho kiwanda? Soma na uelewe!
Danube Group is the parent organization of all divisions including hiyo ya furniture huko Dar. All feasibility studies and the decision to setup the Dar outlet were all mapped and being run from Nairobi.
 
Wewe achaufala hakuna kitu kama hicho. The owner hapa Dar alikuwa ndo mmiliki wa home shopping center. Hapa Dar wanazaidi ya Showrooms nne na sasa wameamua kujenga kiwanda hapa kwa jili ya showrooms zao duniani. Kenya hakuna kiwanda ni showroom. Wamiliki wa home shopping wameingia mkataba na mmiliki wa Danube Dubai. For your own information kiwanda kitasafirisha furnitures all over there showrooms including Kenya from Tanzania.
Screenshot_20180305-005201.png
 
Wewe achaufala hakuna kitu kama hicho. The owner hapa Dar alikuwa ndo mmiliki wa home shopping center. Hapa Dar wanazaidi ya Showroom nne na sasa wameamua kujenga kiwanda hapa. Kenya hakuna kiwanda ni show room

Enda tafuta maana ya franchise. Danube Group iko na diverse divisions from contruction,hardware to furniture and soft furnishings kama hiyo ya Dar. Pongezi kwenu,muunde bidhaa nzuri tutakujia 😀
 
Congratulations Tanzania for hosting Danube Home (furniture division franchise) of the Danube Group. Regional offices already in Nairobi,Kenya Libya and Nigeria. This affirms the long held corporate open secret that before venturing deep into Africa,look out for Kenya and gain a firm footing before spreading out! 😀😀😀

DANUBE EXTENDS ITS PRESENCE IN THE AFRICAN REGION
POSTED BY ADMIN ON DECEMBER 25, 2012
africa.jpg

Keeping pace with Dubai based business house, Danube Group has spread its wings to the African region of Kenya and Libya with the opening of its new showrooms. Conveniently located in the heart of the city, the showroom in Kenya is situated at Nairobi spreading across 20,000 square feet. Similarly,
the franchise outlet of Danube in Libya is located in Benghazi and is spread across 35,000 square feet. Both the showrooms showcase an extensive collection of products including sanitary ware, ceramic tiles, parquet flooring, MDF, chandeliers, garden furniture, timber, steel, hardware etc. Danube also
foresees expansion in other areas of Africa such as Ethiopia and Tunisia.

Source: Danube extends its presence in the African Region - Danube Group

Dubai company enters Libya and Kenya
December mkienda kwenye hayo maduka mnakua mnanunua furniture made in TZ because 80% zitakua exported to the world market.
 
Hii ni moja ya industry ambayo miaka yote nimekuwa nikijiuliza kwanini hatuwekezi at large scale ili hali malighafi ya kutosha ipo na soko lipo!

So, this's good!
 
Enda tafuta maana ya franchise. Danube Group iko na diverse divisions from contruction,hardware to furniture and soft furnishings kama hiyo ya Dar. Pongezi kwenu,muunde bidhaa nzuri tutakujia 😀
Point of correction, kiwanda ni cha GSM Africa a local company. Ni sawa wewe uwe na kiwanda chako cha pen then bic waka ingia makubaliano na wewe uwatengenezee pen zao.
 
Back
Top Bottom