kuna wabongo pia wanaoikimbia hii threadNaona vijana wa Nairobi wanachungulia na kukimbia. Wanakodoa kodoa macho. Hawaamini wakionacho.
Kwani hawaruhusiwi?Makonda na baba yake wana hisa hapo..
mmesahau misingi ya uongzi ya TANU?Kwani hawaruhusiwi?
Sisi tunataka maisha mazuri. Tukiwa na Funitures nzuri hayo ndiyo maendeleo. Tupo na kila kitu ngoja dunia ijue. Waanze kutumia made in Tanzania.kuna wabongo pia wanaoikimbia hii thread
Hususan makarai ya ufipa.kuna wabongo pia wanaoikimbia hii thread
TANU na kiwanda chetu kipya wapi na wapi? Hebu tuondoleeni utoto wenu huku. Sisi tunajadili mambo ya maana. Hizo issue zenu za kipuuzi ni ujinga.Wa
mmesahau misingi ya uongzi ya TANU?
Issue zote zinazogusa interest zenu ni za ujingaTANU na kiwanda chetu kipya wapi na wapi? Hebu tuondoleeni utoto wenu huku. Sisi tunajadili mambo ya maana. Hizo issue zenu za kipuuzi ni ujinga.
Acha upuizi. Sawa!? Jadili hoja acha kujadili mihemko isiyo na proof zozote. Hapa tunaongelea facts kuhusu kujengwa kiwanda cha Funiture. Wewe unaleta porojo za kipumbavu. Nyie ndio mnaoturudisha nyuma kwa maneno ya kipuuzi na upumbavu. Unaogozwa na mihemko huna hata facts zozote. Sisi tunakupatia vitu kwa references. Wewe unaleta siasa za maji taka za kuwachafua watu. Huo ni ushamba you need to growup. Mambo ya kubuni buni kwa chuki binafsi yameshapitwa na wakati.Issue zote zinazogusa interest zenu ni za ujinga
Weye msomali hebu tuondolee shombo hapa.Issue zote zinazogusa interest zenu ni za ujinga