Sio mnakujua bali zitaletwa na wao hizo furniture na mtanunua. More than 500 40ft containers to be exported per month na bado watejenga viwanda vingine vya hardware once they are done with thisEnda tafuta maana ya franchise. Danube Group iko na diverse divisions from contruction,hardware to furniture and soft furnishings kama hiyo ya Dar. Pongezi kwenu,muunde bidhaa nzuri tutakujia 😀
Vya cherahani na misumeno ndio vinafanya tuwavalisheTeh teh teh kiwanda cha misumeno..
Ndiyo hiyo inaitwa Franchise dunder head.Point of correction, kiwanda ni cha GSM Africa a local company. Ni sawa wewe uwe na kiwanda chako cha pen then bic waka ingia makubaliano na wewe uwatengenezee pen zao.
Polepole anasemaga CCM na viongozi wake Wanafuata siasa za Ujamaa na kujitegemea.Kwani hawaruhusiwi?
Najua what franchise mean.. ila yule boya mwenzako made it sound kama deal ya kupigwa kama mliyo sign na mchina. Ambayo ime wafanya mkalie kidole cha mchina for 10 good years. By 2027 uko kutakua na Kenyans with Chinies origin mob [emoji13]Ndiyo hiyo inaitwa Franchise dunder head.
Sasa nyie mtakuwa na Watanzania with A Turkish origin?Najua what franchise mean.. ila yule boya mwenzako made it sound kama deal ya kupigwa kama mliyo sign na mchina. Ambayo ime wafanya mkalie kidole cha mchina for 10 good years. By 2027 uko kutakua na Kenyans with Chinies origin mob [emoji13]
Kaangalie uone idadi ya waturuki walio kuja Bongo linganisha na hao wachina uko. More than 40% ya wafanyakazi ni wao. Bado wakimaliza watabaki miaka 10 wakiwamanga tuSasa nyie mtakuwa na Watanzania with A Turkish origin?
You getting those statistics outa your arse?Kaangalie uone idadi ya waturuki walio kuja Bongo linganisha na hao wachina uko. More than 40% ya wafanyakazi ni wao. Bado wakimaliza watabaki miaka 10 wakiwamanga tu
Kama wana lengo la ku export 80% wata fit kupewa exemption ya baadhi ya kodi. Kuna hawa wanatengeneza furniture mtaani wame jaa kibao, na wanatumia umeme huo huo unao usema ww na materials hizo hizo na bado wana toboa. Mimi nazani kwa kua wata enjoy economies of scale wanaeza waka toboa zaidiGSM + Bashite
Kwa furniture sidhani uzalishaji wa ndani na kutegemea soko la nje utakuwa na tija kwa mzalishaji.
Danube ni duka la vitu rahisi....suppliers wake wana supply vitu kw bei ya chini sababu wateja walengwa ni kipato cha kati.
Inawezekana kidogo kama hiki kiwanda kikajengwa ndani ya free zone areas ambako ushuru wa raw material ni zero.
Lakini upatikanaji wa mbao, na vifaa vingine tu gharama ni gali, umeme ghali, logistic kibao zinaongeza gharama...jee kweli wataweza kushindana na bidhaa za china zina zouzwa na danube ?
Inawezekana kama kutakua na previlege maalum kwa GSM ..umeme bure, ma ushuzu zero mpka wa export.
Ni pressure tu hizi za viwanda
Naona vijana wa Nairobi wanachungulia na kukimbia. Wanakodoa kodoa macho. Hawaamini wakionacho.
Waambie ufipa wakusaidie MB haiwezekani mtetezi wao mkuu ukadhalilika namna hiisina MB za kutosha kuweza kucheza hiyo clip. Ni vyema ukanisaidia kujua kama hutojali, nimesikia kimeanza kujengwa, je kitamalizika lini, kitakuwa na uwezo wa kuajiri watu wangapi? Ukinisadia kwa hili utakuwa umenitendea haki boss.
Waambie ufipa wakusaidie MB haiwezekani mtetezi wao mkuu ukadhalilika namna hii
Unazani mimi ni kama weweYou getting those statistics outa your arse?