Wale ambao walikuwa declared kama majipu katika awamu hii kuanzia kampuni za ujenzi, usafirishaji nk na kuahidiwa "kulala nao mbele" naona kila uchao wanaendelea kushine na kulamba tenda za umma!
Ngoja tusubiri labda mapofesa na phds walojaa serikalini watatuelezea maana yake labda.