Kiwanda kikubwa cha kisasa cha vigae(Tiles) chazinduliwa Tanzania -East Africa

Kumbe hawa Jamaa bidhaa zao nzuri Kwa macho lkn...
 
Naona sasa umekunywa viroba. Hebu kaa utulie uandike vizuri. Maana naona unatoa povu tu.
Halafu hicho kiwanda cha mkuranga kipo kingine kitazinduliwa kipo chalinze July kitaanza kufanyakazi
Mwendo kunyoshana tu sikiliza hapa

MICHUZI BLOG: KIWANDA CHA VIGAE CHALINZE KUAJIRI WATU 6000

Yani kita..... mmerogwa au vipi?? Yaani nyinyi ni future tu, tuta..... hamna lolote. Wewe umeshindwa na hoja kwenye uzi huu, unakimbilia ndege, uhusiano gani?? Acha kuhepa, ukileta mada hapa peleka hadi mwisho, ukishikwa shikamana, sio kuanza hadithi za vijiweni hapa
 
Yaani nakuona umechanganyikiwa kabisa.
Kunaviwanda viwili vikubwa sana barani africa.
1. Mkuranga: Tayari kimeshaanza kufanyakazi
2. Chalinze: Kinaanza kufanyakazi july.

Naona povu linakutoka sasa. Tunaposema Tanzania ya viwanda tunamaanisha.
 
Mbona unalia lia. Hebu weka sample ya vigae vinavyotenegenzwa na kiwanda chenu. Wewe unaleta matofari. Weka hapa samples ukiongea maneno matupu tutakushangaa.
Je, kinazalisha kiwango gani!?, Vigae aina gani kinazalisha?
Hiki cha bongo kinazalisha tiles kiwango cha kimataifa.

Kama kuwasilisha hoja ni sawa na kilialia huko kwenyu, nashukuru kwa kunijuza. Mbona warukaruka sasa baada ya kukupatia mfano kwa video mbili, kama hujatosheka na hilo basi hata ukionyeshwa vigae bado utabisha tuu havijaundwa hapa. Wewe tulia hapo na utizame hapa.
KSh 850 - Twyford floor tiles

Hii kampuni hata bado inapania kufunua kiwanda kingine huko kwenyu kama sijakosea. Halafu utabisha eti ni cha kwanza hapa. Tizama hapa na uje tena:

https://www.google.com/url?sa=t&rct...BAjw-CSfmsNBSbAB8apU1Q&bvm=bv.148747831,d.ZGg
 
Kama kuwasilisha hoja ni sawa na kilialia huko kwenyu, nashukuru kwa kunijuza. Mbona warukaruka sasa baada ya kukupatia mfano kwa video mbili, kama hujatosheka na hilo basi hata ukionyeshwa vigae bado utabisha tuu havijaundwa hapa. Wewe tulia hapo na utizame hapa.
KSh 850 - Twyford floor tiles

Hii kampuni hata bado inapania kufunua kiwanda kingine huko kwenyu kama sijakosea. Halafu utabisha eti ni cha kwanza hapa. Tizama hapa na uje tena:

https://www.google.com/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=2&cad=rja&uact=8&ved=0ahUKEwibr4j-usTSAhWHLsAKHVlbCfUQFgggMAE&url=https://constructionreviewonline.com/2017/02/twyford-tanzania-ceramics-to-construct-a-tiles-factory/&usg=AFQjCNHEbEg9BAjw-CSfmsNBSbAB8apU1Q&bvm=bv.148747831,d.ZGg
Hebu ona sasa unavyoruka ruka.
Hiyo company vigae vyake vitaanza kutoka mwezi July. Kiwanda kipo chalinze. Ni tofauti kabisa na hiki cha mkuranga. Maana cha mkurangi ni mziki mwingine. So hakuna kipya hapo ulichoweka maana company hiyo hiyo imefungua kiwanda kikubwa zaidi ya hicho cha kenya. Sijui unasemaje hapo. Ni mwendo wa kuwanyooosha tu.

Hebu leta hapa ukubwa wa kiwanda hicho cha kenya kiuzalishaji. Kama siyo kwaajili ya local pekee.
 
Hii kauli yako inaashiria ni wazi haujafuatilia chochote kuhusu zile link nimekupea. Wataka upakuliwe tena ulishwe? nini wewe.
 
Hebu ona sasa unavyoruka ruka.
Hiyo company vigae vyake vitaanza kutoka mwezi July. Kiwanda kipo chalinze. Ni tofauti kabisa na hiki cha mkuranga. Maana cha mkurangi ni mziki mwingine. So hakuna kipya hapo ulichoweka maana company hiyo hiyo imefungua kiwanda kikubwa zaidi ya hicho cha kenya. Sijui unasemaje hapo. Ni mwendo wa kuwanyooosha tu.

Najua ni kiwanda tufauti. Lakini nilitaka kukudhibitishia hayo mambo kwetu sio ngeni kamwe. Ni kawaida tuu!.
 
Siyo mageni wapi wewe. Wakati hicho ni juzi tu kwenu kimeanzishwa. Halafu uzalishaji wake ni mdoooogo sana. Hapa TZ hiki tu cha mkuranga kitatosheleza ndani na tutauza nje. Sijui nyie mtakuwa mnauza nchi gani maana karibia nchi zote karibu na ninyi ni strategy za Tanzania na kwetu uzalishaji ni cheap. Kwahiyo bei itakuwa chini.
 
Hizo mbwembwe tu, tena ashukuru jk kamtengenezea njia ila tutaona kama ni kweli!
 
You can know a small country by what excites it citizens. A tile factory?
A tile factory of all the things! While here we are talking about car and electronics manufacturing plants, somebody is bragging about "the largest" tile factory.
Tiles production plants?.......with the booming construction industry, they are available pretty much in every major town in the country. Big deal?
 
Nashangaa sana kweli na hawa jamaa, yaani, tile factory?? Yaani ni clay Factory kama ile iliyokuwa ya Njenga Karume hapa Claycity Kasarani, wanaringa nayo!!! Dah! Eti tile ni za Kizazi kipya, dah, 5th Generation tiles, hhhhhh, this is just funny. But haya unayatarajia Bongo,
Mwenzao, Suma G aliimba, "Uswahilini kuna vituko"
 
Back
Top Bottom