Kiwanda kinachotengeneza Barakoa zinauzwa Muhimbili kiko wapi na kinamilikiwa na nani?

Ulishaaambiwa kuwa mlime sana mazao mengi maana mataifa ya nje wapo lockdown hivyo mtawauzia mazao yenu.
 
Sio Barakoa tu wanatengeneza hadi PPE.

Kwa wasiofahamu hizi Hospital kubwa kuna vitu vingi watengeneza hasa consumables kwa ajili ya matumizi yao
 
Sio Barakoa tu wanatengeneza hadi PPE.

Kwa wasiofahamu hizi Hospital kubwa kuna vitu vingi watengeneza hasa consumables kwa ajili ya matumizi yao
Sasa hizi si kwa matumizi yao wanauza nchi nzima
 
Barakoa za nini wakati mnasema hakuna corona?? Au “changamoto ya kupumua” inaletwa na vumbi?? Unafiki, hila na fitna vimeanza kupungua sasa mnakiri kuna tatizo!!!

Kiwanda cha Muhimbili hakiwezi kuzalisha kiasi cha barakoa zinazohitajika kukinga umma wa watu karibu milioni 65!! Kila mtu avae barakoa anayotaka - muhimu ni kujikinga!!
 
Ukiambiwa tumetengeneza viwanda 5000 uwe unaelewa kuwa na hiki ni kimojwapo na hatuhitaji kuonesha kilipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…