Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #61
Siuzi bagia ila nazipenda sana ! huwa nanunua kwa mama Ashura anapikia pale mwembe yanga chini ya Transfoma la Tanesco , hizo bagia kwa utamu usipime !Wewe muuza bajia Tandika mwembe yanga unajua?