Kiwango cha chini kabisa (minimum amount) cha kuhonga hawara

Kiwango cha chini kabisa (minimum amount) cha kuhonga hawara

Wee nae mam, hiyo kakupa ya vocha. Hongo bado ipo njian inakuja. Kuwa mvumilivu tyuuuh.
 
Kuhonga hainaga kiwango cha chini wala cha juu, ni uwezo wako na upendo uliopo kwa wakt huo maana upendo unabadilikaga kulingana na wakati,

Unachoona ww ni kidg, mwenzio ndio kikubwa sanaaa na pengine kwako kikawa kikubwa ila mwngne akaona unazngua.

Binafsi, level yangu kubwa nilishatoa simu ya laki tano kipind mapenzi yapo kwenye peak uelewi wala uoni, sijawahi kujutia maana naona ni mazingira flan unafanya vitu tena na amani ipo ya moyo haina haja ya kujutia.

Ila raha ya mapenzi uonge kadri ya uwezo wako, naye ahisi kupendwa akupe yooote ujipimie taratibuuu


Hahaha
 
Nimecheka sana, 7650!!!!
Sijui mimi nafeli wapi kuwa na huo ujasiri,
Takribani mwezi umepita nilikuwa na mdada mmoja aliniahidi kunipa game ila akaomba apate japo Serengeti rite kadhaa,,
Mwamba nikaona sio kesi tukajisogeza mahala zinakopatikana, Tumeanza nikiwa na safari lager 1,yeye ana Serengeti ya tatu, akaagiza chakula 9000,
Baada ya hapo alikunywa zaidi Serengeti rite 23,na bado halewi ila kachangamka tu, hiyo tumeaza saa nne asbuhi mpaka moja usiku,
Nikahisi mfuko umeyumba nikamwambia tukafanye yeti, akatii moja Kwa moja mpaka lodge nikapiga changu kimoja cha maana japo kwa masharti ya kutokugusa matiti, kwa vile ni ya mtoto!!!
Nikamuachia ten yake nikasepa huku nikijutia,,
Alafu baada ya siku moja kupita ananitafuta tena, na kuniita Baba,
Kenge sana R popote ulipo, nimepata somo ukiingia tu 7650 itakuhusu,,
NB. Acheni kutumia kwa kukomoa

😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka sana umepiga game yenye mipaka ahahahahahahahaahahahahaaaaa
 
Wee nae mam, hiyo kakupa ya vocha. Hongo bado ipo njian inakuja. Kuwa mvumilivu tyuuuh.
.

Huyu anaonekana kamaliza mtu gani anatembea na daftari la mapato na matumizi tena anavyoandika na kusoma daftari lake anavaa miwani ya kusomea 😂😂😂😂😂😂😂
 
.

Huyu anaonekana kamaliza mtu gani anatembea na daftari la mapato na matumizi tena anavyoandika na kusoma daftari lake anavaa miwani ya kusomea 😂😂😂😂😂😂😂
Katakua kababu hako.Hadi miwani tena?Alijua katoa laki saba kumbe saba elfu?😂😂😂
 
Back
Top Bottom