Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
ha ha ha ha unampiga saundi mpaka anasahau kukuomba hela.
Unaonekana tu jinsi vile una maneno ya gharama kubwa sana hapa mjini ๐๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha ha unampiga saundi mpaka anasahau kukuomba hela.
Unaonekana tu jinsi vile una maneno ya gharama kubwa sana hapa mjini ๐๐๐๐๐
Buza kwa mpalange!๐ณ๐ณ. Acha nisiendelee kuuliza Ila hili neno mpalange khaaa! Sijui Maanake niniTigo ni Buza kwa Mpalange...
Nadhani umenielewa sasa
Yaani wewe acha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana umepiga game yenye mipaka ahahahahahahahaahahahahaaaaa
mamaeeeeeKuhonga hainaga kiwango cha chini wala cha juu, ni uwezo wako na upendo uliopo kwa wakt huo maana upendo unabadilikaga kulingana na wakati,
Unachoona ww ni kidg, mwenzio ndio kikubwa sanaaa na pengine kwako kikawa kikubwa ila mwngne akaona unazngua.
Binafsi, level yangu kubwa nilishatoa simu ya laki tano kipind mapenzi yapo kwenye peak uelewi wala uoni, sijawahi kujutia maana naona ni mazingira flan unafanya vitu tena na amani ipo ya moyo haina haja ya kujutia.
Ila raha ya mapenzi uonge kadri ya uwezo wako, naye ahisi kupendwa akupe yooote ujipimie taratibuuu
Hahaha
Kwani wewe ni msukuma?Buza kwa mpalange!๐ณ๐ณ. Acha nisiendelee kuuliza Ila hili neno mpalange khaaa! Sijui Maanake nini
Yaaa me msukuma mkuu!Kwani wewe ni msukuma?
Yaani namaanisha tundu la kutolea ushuzi na kinyesi...
Kama bado hujaelewa tena basi bhana....
๐๐๐ Nani huyo alitembezewa mjurubeng kwa buku Saba?!Wenzio walishapewa hiyo tena baada ya kufunga safari ndefu kutoka Bukoba mpaka Dar kwa hela zao halafu wakaishia kuambulia 7,800 na mjurubeng wakatembezewa. Shukuru hata kama ni kidogo [emoji16][emoji16][emoji16]
๐๐๐ Noma sanaHii story siwez kuisahau... ila yule dada itakua ufupi ndo ulisababisha na kukomaa.
Amekupendelea mno๐Hello jopo la MMU. Nimfanyeje huyu ๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Kitambulisho rejea: CI2xxxxxxxx Umepokea 7,650. Tshs kutoka CHxxxxxxx Salio jipya xxxxxxxTshs.. Airtel Money Branch karibu nawe kila kona ya Tanzania! Kukupatia huduma zote za Airtel, kutoa na kuweka Pesa kiwango unachohitaji!
๐๐๐๐ una roho za wajumbe wa kigam-boxAmekupendelea mno๐
Hapo bila mkono wa birika hakuna kitu chenye utaambulia๐๐๐๐ una roho za wajumbe wa kigam-box
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hello jopo la MMU. Nimfanyeje huyu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kitambulisho rejea: CI2xxxxxxxx Umepokea 7,650. Tshs kutoka CHxxxxxxx Salio jipya xxxxxxxTshs.. Airtel Money Branch karibu nawe kila kona ya Tanzania! Kukupatia huduma zote za Airtel, kutoa na kuweka Pesa kiwango unachohitaji!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Ndalilo please sio dua njema hii ujue , unatype vipi 7,650 kisha ndio umalizie na password then uthibitishe kweli kabisa yaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanajumuiya umepotea sana.Nini mbaya?Tigo ni Buza kwa Mpalange...
Nadhani umenielewa sasa
Hapana mtumishi. Kuna kaibilisi kalihack account yangu. Nimeshakakemea kamesepa.Mwanajumuiya umepotea sana.Nini mbaya?
Inshaallah mwanajumuiya.Mchango wa ujenzi utoe ustaadh!Hapana mtumishi. Kuna kaibilisi kalihack account yangu. Nimeshakakemea kamesepa.
Jumuiya iko salama kabisa.