Kiwango cha elimu cha Maulid Kitenge?

Kiwango cha elimu cha Maulid Kitenge?

Ukishajibiwa ukaridhika,swali la pili waulize wanazengo ukwasi wake,Hilo nalo muhimu kulifahamu,
 
maulidi kitenge ukiondoa mapungufu yake mengine, ni born town,mzawa wa dar na viunga vyake vya kariakoo,ilala, temeke,kinondoni nk.

sisi vijana wazawa wa dar huwa tunapenda kuwatania vijana wa mikoani hususani arusha,kwamba kuzaliwa dar na kukulia dar ni degree tosha.
tupo well connected,knowledgeable and streetsmart.

povu ruksa
 
Namfahamu toka akisoma Mnazi Mmoja Primary School 1992

Kahitimu Form Four tu
Ana Cerificate ya uandishi wa habari
Alipotea kipindi fulani, tulikua nae US, camp Fort Meade, mambo ya intelligence, five years🤷🏼‍♂️
 
Dimpoz ana pedeshee uturuki na Dubai ya wapiii?

Ni mke halali wa Gavana Joho, usitake kuharibu ndoa za watu? Wametoka mbali? Muachee dimpoz atulie, amepitia mengi jaman khaaaaah.

Yuko pale GSM sababu Gavana ni rafik mkubwa wa Salaah. Na Ghraib. Ko shem anasaidia majukumu baadhi anayo yamudu.

Khaaaaah
Duhh! Dunia ina mambo 😂🙌🏾
 
Ni yeye na ame haso kweli, gays wangapi wanauza kiziboo hata bajaji hawamilikiii. Why yeye??

Ameolewaaaa yulee hana boifwend, kaa kwa kutuliaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeye na mwenzie "Mwanahamisi mangi... a.k.a Bi. Jazeni!" Ndo naona ni gays wenye mafanikio kidogo ila yote yataishia hapahapa duniani tu 😔
 
Hivi nyie watu humu kila mtu maarufu huko Daslamu ni shoga??? Acheni kuupromote ndo maana vijana wanaharibikiwa wanadhani ndo njia ya kwenda ulaya
Huyu muache tu dada.... Inaumiza sana moyo. Sijui hili janga litaisha lini. Huyu mwache.....tusiseme mengi.
 
Clip yake akimvua mtu nguo za jeshi ilikuwa inamaanusha nini?
Anataka ku-expose au kuweka wazi au bayana kwa umma na dunia kwamba wajue yeye ni agent wa serikali kitu ambacho ni kosa kubwa sana! Wanamstahi tu iko siku itamgharimu.

Aliingilia kati lile sakata la Nape na alionywa nafkiri... ila anaendelea na mambo mengine ya hovyo! U.T ni kazi ya siri sana ila siku hizi haina maadili maana watu hawana siri tena sasa sijui yale mafunzo walipewa ya nini. Ni magumu sana! Ila mtu karoho ka usiri hana!


Iko siku yake atazimwa kama mshumaa.
 
Afu sio mara ya kwanza, mbna ishakua kawaida yake.
Kitamkuta kitu siku moja 😊

Aliingilia kati Nape asipelekwe alikokuwa anahitajika na wakati wale wameagizwa wampeleke yeye akataka aonekane HERO kama spiderman kumbe anavunja miiko, masharti na taratibu za kazi. Akaonywa hakomi na haachi vioja. Sasa yeye anamvua mtu nguo za jeshi ili watu wajue yeye kitengo ama?!


Kikeke alikuwa na ushamba huo pia wa kujirekodi kavaa nguo za kijeshi anafanya vituko akaonywa akaacha naona huyu bwana anatafuta kitu
 
Alipotea kipindi fulani, tulikua nae US, camp Fort Meade, mambo ya intelligence, five years🤷🏼‍♂️
Huo ni uongo! Kambi za U.T zinafanyikaga hapahapa nyumbani bongo kusikojulikana!


Anayesafiri ni Jasusi au Interpol na hizo level ni kubwa sana!
 
Akifika Marekani anaongea lugha gani?
Anakuwa na mkalimani pembeni ambaye huwa mwenyeji wake, sio lazima kila unakoenda utaweza kuongea lugha yao,jiulize ukienda China,Japani,Ujerumani,Uholanzi na kwingineko utaongeaje lugha ya kwao? lazima uwe na mwenyeji anayejua hizo lugha bwashee,kwani wewe hujawahi kusafiri nje ya nchi? hata hapo Ethiopia mkuu.
 
Back
Top Bottom