Kiwango cha elimu cha Maulid Kitenge?

Kiwango cha elimu cha Maulid Kitenge?

Pesa huna wewe.......Mtu mwenye pesa anapata wapi Ujinga wa kuuliza habari za Maisha ya Mtu mwingine, Maulidi sio Mtumishi wa Umma wala sio Mwanasiasa!

Na hizo story zenu za kwenye Vijiwe vya kahawa zinafanya muendelee kuwa Masikini kwa kuamini huwezi kupata pesa bila ya kuwa Punda, kila mtu mwenye pesa ni ama Punda ama Freemason ama Illuminati!

Wewe check na issue zako, achana na Maisha ya Watu.
Acha hasira ndugu. Tusaidie elimu ya Kitenge na ipi? Mtafute yule tajiri wa mafuta wa Morogoro muulizie pia elimu ya Kitenge. Unalia kama kasuku kujibu hoja hautaki
 
Hyo Jux si alikuwa anakula mzungu WA hotel fulani (Mwanaume) na ndio chanzo cha kutemwa na mpare.
Jux na wenzake michezo Yao ni Ile Ile Wana kakundi Chao tena mmoja wao ni mjukuu WA babu yetu WA heshima. Sina ulinzi ngoja niishie hapa
Yule mke wa mjukuu ni geresha?
 
Mwenye kujua kiwango cha juu kabisa cha Elimu ya Mtangazaji Nguli Maulid Mbaraka Kitenge atujuze.
NB: Hapa usitaje elimu ya dini, nazungumzia elimu hii ya dunia.
Sijawahi kumsikia akiongea kidhungu
 
Ukikaa karibu na mwizi na wewe unakuwa mwizi, maulidi toka afanye kazi karibu na zembwela naona anajichetua siku hizi, zamani hakuwa vile.
 
Mwenye kujua kiwango cha juu kabisa cha Elimu ya Mtangazaji Nguli Maulid Mbaraka Kitenge atujuze.
NB: Hapa usitaje elimu ya dini, nazungumzia elimu hii ya dunia.
Mkuu wala usiende mbali,unadhani Kitenge angekuwa ana shule si ingekuwa matangazo kila kukichwa, huyo alikuwa mwandishi kanjanja wa gazeti la Mfanyakazi miaka ile ya akina James Nhende, angalau hata Haji Manara ana shule ya kuunga kuliko chawa Kitenge.
 
Akifika Marekani anaongea lugha gani?
Kuna watu wanaishi Marekani na hata cha kuombea maji hawajui? na huyo mwamba wako akienda Marekani anaongozwa na Watz wao ndio humsemea kila kitu ukiacha morning yeah yeah oh yes oh no
 
Mwenye kujua kiwango cha juu kabisa cha Elimu ya Mtangazaji Nguli Maulid Mbaraka Kitenge atujuze.
NB: Hapa usitaje elimu ya dini, nazungumzia elimu hii ya dunia.
Kama ni "mtangazaji nguli" elimu inajalisha nini ? Umeshampa unguli.

Kwangu mimi Kitenge ni mwandishi mbovu wa Kitanzania asiyejua maadili na miiko ya kazi.

Kwenye safari ya Yanga ya juzi alisimama mbele ya ndege angani akahojiwa kirefu kuhusu career yake. Mwandishi uko kwenye msafara wa timu unageuza agenda kuwa ya mambo yako binafsi. Halafu anasema kwenye hiyo interview kwamba amesafiri dunia nzima, lakini hajajifunza lolote la kikazi, exposure yake sifuri.
 
Jamaa ana maisha mazuri sana ,nyinyi ng'ang'anieni tu na mambo ya ma vyeti ,kina baba levo ,dayamondi ,nandy ,jeshi ,marioo haana vyeti.
Bongo ukiongea sana cv tosha

Unaweza ukawekwa popote

Ova
 
Back
Top Bottom