Rico redi
Senior Member
- Jul 15, 2023
- 167
- 361
Kwa mechi 3 zilizopita ambazo simba amecheza kiwango cha mutale katika kufanikisha ushindi wa timu kimekua ni superb
Angalia goli la pili la simba Leo na hata la kwanza anakaba,anatoa pasi hakai na mpira mguuni lakini kubwa kuliko yote ni kurahisisha kazi kwa ajili ya straika
Binafsi si muumini wa takwimu nzuri tu lakini je hizo takwimu zimepatikana vipi sio tunakua na no 10 ambaye humuoni kwenye involvment yoyote kwenye ushindi wa timu zaidi ya set pieces na penalties ambapo anaenjoy zaidi kufunga kuliko kucheza kitimu na kumtengenezea nafasi straika
Isingekua umakini hafifu Leo mukwala alikua anaondoka na goli 4 mpaka dk ya 70 ya mchezo
Ushauri mutale angepunguza papara kiasi na aache kucover sana eneo kubwa la uwanja hii inamfanya achoke haraka na kupunguza efficiency yake lakini kwa hizi mechi 3 mfululizo binafsi simdai
Ningekua kocha Mutale angekua no 10 pembeni mpanzu na kibu pia ningeshauri timu itafute winga mwingine mahadhi ya mpanzu ambaye ana IQ ya mpira na anayecheza kitimu zaidi kuliko kibu
Mkiwa na playmaker anayechezesha timu hata timu inapata ushindi kirahisi na si kutegemea penalties na mipira iliyokufa
NB;mashabiki hatumchukii mchezaji yoyote isipokua mpira ni mchezo wa wazi mchezaji akifanya vizuri lazima upendwe na wala hutumii nguvu kubwa kuaminisha watu na ukifanya vibaya hatuwezi kufurahia pia