Karaboue Chamou ni shujaa asiyeimbwa pale Simba. Chamou hana pasi mkaa, hana kigugumizi miguuni mwake, mipira ya juu anacheza kwa usahihi sana na hata zile "one v one" anatumia mwili wake vizuri sana. Mapungufu ya Chamou ni mbio tu na hiyo mara nyingi anajua jinsi ya kuficha hayo madhaifu kwani hakupi nafasi umkimbize labda utokee pembeni.Na ww una nongwaaaa muda mwingine...sasa karabwaa huoni kiwango chake?
Huyo Che Malone ana makosa mengi ya kiufundi kuliko Chamou. Che Malone karudi tu mechi tatu tayari kwenye mechi mbili katoa goli mbili rahisi sana kwa Pamba na kwa KMC. Na kama kocha ana mpango wa kwenda kumtumia siku na Berkane basi shughuli ipo huko.