Ni wenge tu na kurogwa ndio kulifanya Mutale apoteeBudo yupo onfire ananikumbusha Morison.
Mkataba ukikaribia kuisha au mwishoni mwa msimu anakuwa wa Moto sana
Subiri mtanange wa Berkane 15/5 ndiyo uje na analyses zako juu ya mutaleKama mutale ataendelea hivi hakuna haja ya kutafuta mwingine zaidi ya ye kuendelea kuaminiwa ili zaidi kuimprove
Kwa navyoona
Mpangeni na berkane, ndo muone kuwa yeye no boga tu
Ttz lake nikupoteza sana mipira kutokana na aina ya uchezaji wake,angalia goli ya KMcKwa mechi 3 zilizopita ambazo simba amecheza kiwango cha mutale katika kufanikisha ushindi wa timu kimekua ni superb
Angalia goli la pili la simba Leo na hata la kwanza anakaba,anatoa pasi hakai na mpira mguuni lakini kubwa kuliko yote ni kurahisisha kazi kwa ajili ya straika
Binafsi si muumini wa takwimu nzuri tu lakini je hizo takwimu zimepatikana vipi sio tunakua na no 10 ambaye humuoni kwenye involvment yoyote kwenye ushindi wa timu zaidi ya set pieces na penalties ambapo anaenjoy zaidi kufunga kuliko kucheza kitimu na kumtengenezea nafasi straika
Isingekua umakini hafifu Leo mukwala alikua anaondoka na goli 4 mpaka dk ya 70 ya mchezo
Ushauri mutale angepunguza papara kiasi na aache kucover sana eneo kubwa la uwanja hii inamfanya achoke haraka na kupunguza efficiency yake lakini kwa hizi mechi 3 mfululizo binafsi simdai
Ningekua kocha Mutale angekua no 10 pembeni mpanzu na kibu pia ningeshauri timu itafute winga mwingine mahadhi ya mpanzu ambaye ana IQ ya mpira na anayecheza kitimu zaidi kuliko kibu
Mkiwa na playmaker anayechezesha timu hata timu inapata ushindi kirahisi na si kutegemea penalties na mipira iliyokufa
NB;mashabiki hatumchukii mchezaji yoyote isipokua mpira ni mchezo wa wazi mchezaji akifanya vizuri lazima upendwe na wala hutumii nguvu kubwa kuaminisha watu na ukifanya vibaya hatuwezi kufurahia pia
Mhhh na weweee......Kibu ni kama yupo kwenye mgomo baridi toka amekuja Mpanzu.
Chasambi na Balua hawachezi tena kwa morali. Ni muhimu msimu ukiisha Simba kuwaondoa hawa watafute mawinga wengine.
Na ww una nongwaaaa muda mwingine...sasa karabwaa huoni kiwango chake?Usidanganyike Mkuu Kule Klabu Bingwa Africa CAFCL sio mchezo.
Simba inahitaji Reform ili Ifike hiyo Nusu Fainali.
Simba Inahitaji si chini ya Wachezaji wanne hadi watano.
1. Beki wa Kati Mmoja 5
2. Kiungo mkabaji Mmoja 6.
3. Kiungo mshambuliaji No 10
4. Mshambuliaji wa kati 9
Wanahitaji wachezaji wakubwa Angalau wa Daraja la kwanza au la pili.
Waachane na.
Chamue.
Okejepha.
Ateba.
Mutale
Uchawi upo.Usidanganyike Mkuu Kule Klabu Bingwa Africa CAFCL sio mchezo.
Simba inahitaji Reform ili Ifike hiyo Nusu Fainali.
Simba Inahitaji si chini ya Wachezaji wanne hadi watano.
1. Beki wa Kati Mmoja 5
2. Kiungo mkabaji Mmoja 6.
3. Kiungo mshambuliaji No 10
4. Mshambuliaji wa kati 9
Wanahitaji wachezaji wakubwa Angalau wa Daraja la kwanza au la pili.
Waachane na.
Chamue.
Okejepha.
Ateba.
Mutale
Kiwango kinaonekana Huku kwenye Shirikisho. Lakini kwenye mashindano ya CAFCL Klabu bingwa chamoe sio material ya Klabu bingwa Africa.Na ww una nongwaaaa muda mwingine...sasa karabwaa huoni kiwango chake?