Karaboue Chamou ni shujaa asiyeimbwa pale Simba. Chamou hana pasi mkaa, hana kigugumizi miguuni mwake, mipira ya juu anacheza kwa usahihi sana na hata zile "one v one" anatumia mwili wake vizuri sana. Mapungufu ya Chamou ni mbio tu na hiyo mara nyingi anajua jinsi ya kuficha hayo madhaifu kwani hakupi nafasi umkimbize labda utokee pembeni.Na ww una nongwaaaa muda mwingine...sasa karabwaa huoni kiwango chake?
Uchambuzi mzuri sana umeandika Fact za kutosha.Karaboue Chamou ni shujaa asiyeimbwa pale Simba. Chamou hana pasi mkaa, hana kigugumizi miguuni mwake, mipira ya juu anacheza kwa usahihi sana na hata zile "one v one" anatumia mwili wake vizuri sana. Mapungufu ya Chamou ni mbio tu na hiyo mara nyingi anajua jinsi ya kuficha hayo madhaifu kwani hakupi nafasi umkimbize labda utokee pembeni.
Huyo Che Malone ana makosa mengi ya kiufundi kuliko Chamou. Che Malone karudi tu mechi tatu tayari kwenye mechi mbili katoa goli mbili rahisi sana kwa Pamba na kwa KMC. Na kama kocha ana mpango wa kwenda kumtumia siku na Berkane basi shughuli ipo huko.
Akikusoma atakuelewaKaraboue Chamou ni shujaa asiyeimbwa pale Simba. Chamou hana pasi mkaa, hana kigugumizi miguuni mwake, mipira ya juu anacheza kwa usahihi sana na hata zile "one v one" anatumia mwili wake vizuri sana. Mapungufu ya Chamou ni mbio tu na hiyo mara nyingi anajua jinsi ya kuficha hayo madhaifu kwani hakupi nafasi umkimbize labda utokee pembeni.
Huyo Che Malone ana makosa mengi ya kiufundi kuliko Chamou. Che Malone karudi tu mechi tatu tayari kwenye mechi mbili katoa goli mbili rahisi sana kwa Pamba na kwa KMC. Na kama kocha ana mpango wa kwenda kumtumia siku na Berkane basi shughuli ipo huko.
Sasa ndio karabwaa? 😂😂Na ww una nongwaaaa muda mwingine...sasa karabwaa huoni kiwango chake?
😂😂 Janshalewa au sio?🙌🏾Janshalewa
Aint no such this as kurogwa, viwango vya wachezaji vina kupanda na kushuka due to different factor. Kusingizia ulozi ni mbinu ya wabongo kukwepa accountabilityNi wenge tu na kurogwa ndio kulifanya Mutale apotee
Ila ni bonge la mchezaji
Toka amekuja Mpanzu, Kibu amedrop sana. Anajaribu kucheza kistar mno na kujaribu kuonyesha na yeye ana tuvituvitu ila ndiyo hivyo mambo yanakataa kwa sababu kiukweli hana kipaji hiko. Yeye ni mtu wa harakati ila zimepungua sana.SAYVILLE unacheka nini sasa...hujui kama muunganiko wao wale watatu 3 pale mbele ndo umetuvusha mpk fainali...
Kibu
Ahoua
Mpanzu....? Ni utatu mtata...
Mpangeni na berkane, ndo muone kuwa yeye no boga tu
Sahihi kabisa.Umeongea kiufundi sanaToka amekuja Mpanzu, Kibu amedrop sana. Anajaribu kucheza kistar mno na kujaribu kuonyesha na yeye ana tuvituvitu ila ndiyo hivyo mambo yanakataa kwa sababu kiukweli hana kipaji hiko. Yeye ni mtu wa harakati ila zimepungua sana.
Kuna uzi niliuanzisha kabla ya marudiano na Al Masry kwa sababu ya Kibu kwa hiyo sijakurupuka kusema hivi leo.
Ahoua tuambieane ukweli, zaidi ya penati hamna kingine kikubwa ana offer kwa timu. Anapoza sana mashambulizi na sehemu za kuwapa wenzake anataka afunge yeye. Kwa idadi ya fouls anazolazimisha kupiga, Simba siku hizi haipati magoli ya kutosha kulingana na fouls inazopata. Kuna wakati unaona kina Kibu, Mpanzu na Nouma wanataka kuzipiga hizo free kicks ila yeye analazimisha.
Simba inatumia nguvu kubwa sana kupata ushindi na inaweza kupata matokeo marahisi zaidi kama kuna vitu vitabadilika pale mbele kuanzia safu ya kiungo, mawinga hadi striker. Ni ama kubadili wachezaji au kutengeneza mfumo mpya wa uchezaji kwa kuangalia makosa yanayojirudia na mapungufu waliyonayo.
Nimecheka kwa kuwa huu labda siyo wakati mzuri wa kuwakosoa ila nimelazimika kutoa huu ufafanuzi.
Hii analysis inapingana na basics za mpiraSehemu Mutale alipoboresha ni first touch zake. Alipobakiza ni kupunguza speed kidogo. Anafanya maamuzi ya haraka kuliko speed ya wachezaji wenzake. Pia apunguze pasi za hapa na hapa, aongeze kidogo tu umbali wa pasi anazotoa.
Nilikuwa nimeshamkatia tamaa ila akiboresha maeneo hayo mawili nadhani apewe nafasi hata msimu ujao. Mutale anacheza kitimu kuliko Janshalewa na Kibu.
aaa wapi kubabake fadlu asilogwe akajaribu huo upuuziMpangeni na berkane, ndo muone kuwa yeye ni boga tu
FafanuaHii analysis inapingana na basics za mpira
Kuna mtangazaji huwa akiwa anatangaza anamwita karabwaa 🤣 🤣 🤣Sasa ndio karabwaa? 😂😂
Hawa jamaa wawili hawachezi kitimu kabisa. Nadhani Kibu ana presha kwa nini hafungi na Jean Ahoua kiwewe cha kuwa mfungaji bora kinampelekesha!Mutale anacheza kitimu kuliko Janshalewa na Kibu.
Tulishakubalina Kibu hata asipofunga mwka mzima hatumdai....yy kazi yake ni kuwakimbiza na kuwapangua waarabu...Hawa jamaa wawili hawachezi kitimu kabisa. Nadhani Kibu ana presha kwa nini hafungi na Jean Ahoua kiwewe cha kuwa mfungaji bora kinampelekesha!
Mule hamna beki, sjui wengne hawaoni au.aaa wapi kubabake fadlu asilogwe akajaribu huo upuuzi