Kiwango cha mutale kwenye hizi mechi 3 zilizofuatana ndivyo no 10 tulitamani awe hivi

Tulishakubalina Kibu hata asipofunga mwka mzima hatumdai....yy kazi yake ni kuwakimbiza na kuwapangua waarabu...
Mkuu pale kwa kibu hana akili ya mpira, anachojua ni mikimbio mizuri.
Hamna player hapo.
 
A
Achana na uchambuzi wako uchwara ndugu. Mpira hauko hivyo. Wangekuwa dhaifu wangefika hapo walipo? Wakati mwingine timu inapopata upinzani mkali lazima ujue kuwa na wapinzani nao wanajiandaa vilivyo na wanautaka ushindi, na si suala la ubovu wa wachezaji. Tatizo mnadhani kuna sehemu kuna mcheza aliyekamilika kama malaika. Real Madrid na Mancity ziko pale zinafloppy pamoja na kuwa na world class players. Mnakuwa wepesi kusema toa huyu, leta yule kwa kuwa fedha hazitoki mifukoni mwenu. Jifunzeni kuappreciate mafanikio na si kucriticize tu.
 
Bado ana mapepe mengi sana, ila kidogo amejirekebisha:
Kuna wakati anatoa pasi bila kumwangalia anayempa:
Kama lile goli la KMC, alichukua mpira akampa adui hadi goli:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…