Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
My friends, ladies and gentlemen!
Rushwa inatembezwa kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema Taifa kama njugu, bila aibu au kificho.
Hakuna upande unaogombea uongozi, wa kukemea upande mwingine, kwasababu wote wanashiriki kwenye uovu huo unao chafua haiba ya chama chao na uelekeo wa misingi yake. Sio wanachama ambao ndio wajumbe wapiga kura, sio viongozi wao wagombea uongozi na wapambe wao, wote wanatoa na kupokea rushwa, na kwa wakati huu bila kificho. Hakuna wa kumkoromea mwingine kwenye hilo ndani ya Chadema kwasasa.
Kwa mtazamo wako kama mdau wa siasa za Tanzania, ni chama gani cha siasa cha upinzani nchini, kinaweza kua mbadala wa Chadema na kuaminika tena katika suala zima la kukemea rushwa hasa nyakati za uchaguzi, ukiachilia mbali CCM na Serikali yake sikivu chini ya Dr Samia Suluhu Hassan ambao wamefanikiwa kudhibiti miaya ya rushwa kwa kiwango kikubwa zaidi tangu tupate uhuru?🐒
Mungu Ibariki Tanzania